Medecin
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 8,221
- 22,496
Mimi najaribu kufanya check and balance
1. Binti maefanya kazi kwa miaka 14, miaka 9 ya nyuma amekiri kulipwa bila wasiawasi, ila miaka 5 iliyofuata ndio hakulipwa mfululizo.
2. Mwajiri amekiri kuwa ni kweli anadaiwa ila miaka 5 hii ameyumba.
3. Mwajiri amepunguza deni
Hayo mambo matatu yanaonyesha mwajiri aliyumba kiuchumi kweli ila nia ya kulipa anayo. Namtakia mema apate kipato amlipe msichana, upande wa msichana nampa hongera kwa uvumilivu wake na kujua kulea anapaswa kuwa mama bora wa familia.
*Mwisho ila si kwa umuhimu, mwenye namba ya binti naomba anipatie, jicho langu limeona mke mwema hapo.