Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

Mimi najaribu kufanya check and balance
1. Binti maefanya kazi kwa miaka 14, miaka 9 ya nyuma amekiri kulipwa bila wasiawasi, ila miaka 5 iliyofuata ndio hakulipwa mfululizo.

2. Mwajiri amekiri kuwa ni kweli anadaiwa ila miaka 5 hii ameyumba.

3. Mwajiri amepunguza deni

Hayo mambo matatu yanaonyesha mwajiri aliyumba kiuchumi kweli ila nia ya kulipa anayo. Namtakia mema apate kipato amlipe msichana, upande wa msichana nampa hongera kwa uvumilivu wake na kujua kulea anapaswa kuwa mama bora wa familia.

*Mwisho ila si kwa umuhimu, mwenye namba ya binti naomba anipatie, jicho langu limeona mke mwema hapo.
 
Chanzo cha huu mgogoro possibly ni mwendazake magufuli.
 
Aiseeee watu wa Singida vyakula vya Bar
 
akikujibu ni tag 😁 😁
 
Mimi siwezi ila nshashuhudia huku dodoma msichana wa kazi analipwa 20k na 30k,wagogo na wasandawe masikini Hawa watu balaaa
Afu wagogo hawapendi shule, wengi mahouse girl mjini
 
Binti unakaa naye bila kumlipa ili iweje wanawake wajanja wajanja sana


Unampa mtu mshahara wa 70 hivi mtu anatoboaje ebu acheni unyonyaji watangayika H.girl mpe kuanzia 150k
Umlipe hiyo pesa anaondoka kesho yake
 
Nmependa majibu ya mdaiwa-Bi hadija

HAKIKA NI MUUNGWANA SANA,

Nia ya kulipa anayo,Sema Mambo yamebana[emoji106]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hana cha nia wala nini hivi miaka 5 humlipi MTU??!! Kwanza alimuambia nakuhifadhia uliona wapi mshahara unahifadhiwa, haya unafikia mpaka unakopeshwa hela ya kula mahitaji na Dada akiba sake bado tu hujaona uwezo huna wa kumlipa ni mbabaifu kamtumikisha miaka 5 kwa uwongo nakuhifadhia ange kuwa muungwana angemwambia mdogo wangu hali yangu kwasasa sio nzuri najua una familia malengo yako hivyo tafuta sehemu nyingine hapo sasa mdada aamue kuishi nae yeye mwenyewe mbona mama yangu alimwambia mdada waloishi nae miaka hali hairuhusu kukulipa binti akachagua kuishi kama familia akapata mchumba baba na mama wakamfanyia bonge la harusi na zawadi na pesa za kuanza maisha wazazi wamekufa lakini mpaka leo anawwshukuru mdada angemwambia tu ukweli akatafuta hata ajira anaenda anarudi jioni kimtindo anamsaidia pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe package imeboreshwa siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna huyo ni vile tu amempata kitambo ila kwa huku mijini hamna anakuja kufanya kazi kwa 35,000 siku hizi.

Uuwiii! Mbona tunakoma siku hizi tena ukiwa na watoto wadogo ndio mtihani yaani kumpata wa kumlipa 70 tu ni kipengele.
Hata hiyo 70k ni ndogo sana kutokana na job description mnazowapa, ilitakiwa walipwe kima cha chini ...hamna hamna kwa sababu analala kwako wapewe 150k-200k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…