Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Tujitahidi kupiga kura tarehe 28 Oktoba
Sio kujitahidi ni kuwahi mapema sana vituoni kugeuzia kibla kabla saa kenda jogoo hajawikahii ni aibu sana !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujitahidi kupiga kura tarehe 28 Oktoba
Sio kujitahidi ni kuwahi mapema sana vituoni kugeuzia kibla kabla saa kenda jogoo hajawikahii ni aibu sana !
Ana kura za kutoshaWazee wa Dar wanavyomjua Lissu alivyo mzugaji wanaweza kumpa kura kweli?
Nyomi ya Lowassa ilikuwa nyomi ya kipuuzi.Nyomi ya Lissu Ni ya muhimu mno.Lissu kabadili mawazo ya wengi mnoNyomi anazopata Lisu hazifiki hata nusu nyomi alizokua anapata Lowasa kila mtu hili analijua
watu wa Dar tupo kimya na vichinjio vyetu hatuna shobo!Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.
Ni kweli Dar ni bandari salama ila sio kwa kupoa huku kwenye vuguvugu hili la mabadiliko.
Sijaona zile vibe za 2010 kipindi cha Dr. Slaa Vs Kikwete. Sijaona vibe za 2015 kipindi cha Mh Edward Lowasa Vs Dr. JPM
Jiji na viunga vyake vyote ilikua mshikemshike nguo kukauka nikuvae, ila this time, watu wako busy na issue zao tu.
Sijui ni hasira zimewajaa mzee wa kaya alivyoziba mirija kwa miaka 5?
Please, tunapoelekea week 4 za mwisho, tunataka kuona mchango wa jiji kubwa katika harakati za kuwa na taifa lenye muelekeo wa kisera na kimifumo ya taasisi za kiutawala, na maendeleo.
Itakuwa miongoni mwa waliopigwa upofu. Mmiliki mapepo amegeuka kuwa pepo! Huyo sio size ya Halima Mdee. bahati nzuri ni kwamba Kawe hawaishi misukule...Kwani hukuona ilivyokuwa huko Kawe mshike mshike ulivyokuwa kati ya mmiliki mapepo na huyo bibi? Bibi alipigwa knock out. Huko kwenye majimbo mengine nako walipigwa knock out mapema na hivyo ligi ilishamalizika mapema.
Ukichunguza zaidi utagundua kwamba wagombea wa ccm hapo DSM ndio wanaoongoza kwa kuchukiwa na wananchi
Sasa hofu mpaka ya kuleta uzi ya nini?Ana kura za kutosha
Wewe unaishi wapi kwani ni vibe gani unataka ivi umekatisha mitaani huko au upo kwenye mitandao ila ukiotaka kujua dar wapi vizuri subiri Magufuli aje kufanya kampeni dar ndio itakua mjomba wamepita hao watu wa blablaa na hatukustuka wala nn tupate kanda ndugu uone mambo.Kama mji mkuu Tanzania kwa hadhi na historia, jiji la Dar ndio lango la mambo yote, yawe mazuri au mabaya.