Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Hahaaa.Not even the biggest in Tanzania alone
Naona umechanganyikiwa unapojua ukweli wa TZ. Kwamba Mombasa yako ipo sawa na University of Dodoma. Kwikwikwi.
 
Haha duuh uko Kenya kumbe kuna vitu vya ajabu namna hyo[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Sasa wanasumbua nn hawa wandewa...
 
Naona umechanganyikiwa unapojua ukweli wa TZ. Kwamba Mombasa yako ipo sawa na University of Dodoma. Kwikwikwi.

Tihaaaaa....acha kujitekenya.Dodoma is the size of my shopping centre.You and I know that.Pole.
 
Tihaaaaa....acha kujitekenya.Dodoma is the size of my shopping centre.You and I know that.Pole.
Hahaha hebu leta majengo ya mombasa tufananishe na haya ya UDOM.

Kwikwikwikwi. Tofauti na bandari Mombasa ni sawa na UDOM.
 
Hahaha hebu leta majengo ya mombasa tufananishe na haya ya UDOM.

Kwikwikwikwi. Tofauti na bandari Mombasa ni sawa na UDOM.
Tihahahaaaa...You never give up do you????
 
Kwikwikwi umeweka mpira kwapani.
UDOM = Mombasa

Looool!!!Jiokoe huko kwenye post ya Usafiri kati ya Dar na Nairobi kwanza.Hiyo ndo inaitwa own goal..........Poor soul
 
Biggest University East and Central Africa
Sielewi hapa!!! Kaka zangu wabongo sijui kama mko serious ama mnatuenjoi, Sababu kama mtasema hii ni University kubwa, maanake kwamba hamuelewi ama mnatubeba mafala!!!? Surely hii hata haitoshi Kuitwa secondary kubwa kenya!!!!
Brookhouse Nairobi

Technical College Mombasa
Sasa nikiweka university

Nairobi University

Kenyatta University Library
 
Wakenya sio kila kitu mnabisha...udom ni pakubwa sana ....ekari 6000 uwezo wakuchukua wanafunzi 50000 when full operational ....kwa sasa wapo 22k nazaidi.....
Pamejengwa kisasa sana na wana college 6...
 
Nipo ugenini wananishangaa navyo jichekea du!!
 
Wakenya sio kila kitu mnabisha...udom ni pakubwa sana ....ekari 6000 uwezo wakuchukua wanafunzi 50000 when full operational ....kwa sasa wapo 22k nazaidi.....
Pamejengwa kisasa sana na wana college 6...
Lakini nyinyi ndio mna mapingamizi nyingi. Kama sasa we unasema eti UDOM ina 22K students, sasa hiyo unalinganisha na Moi University Eldoret ambayo ina wanafunzi 25K, Nairobi in 60K, Kenyetta ina 40K.

Moi University Tower Eldoret
 
Ukitoa nai varsity the rest hakuna itakayokuja igusa udom kwa ukubwa....issue za academic tuziache maana udom ndio kwanza imeshafanya graduation 7 tu mpaka sasa!! Ni chuo kikubwa mpaka sahv kuna hostel hazina wanafunzi zipo tu....hakuna student anakaa mtaani kwa kukosa room campus!! Kutoka college moja kwenda ingne unachukua usafiri. ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…