Unapiga picha za vijijini unasema mtwara mpuuzi !!!!!Mtwara mna nini huko...ghorofa refu ni storeys tatu???Kilifi hata kubwa sana kuliko mtwara
MTWARA
View attachment 439657
NAIVASHA
View attachment 439658
Calm down my boy.Can you see your dam Mtwara port on the far left???Unataka nikuletee picha za Newyork nikuambie ni Mtwara...Stop being nonsensical.Unapiga picha za vijijini unasema mtwara mpuuzi !!!!!
Kwenda uko ww uwepo wa bandari haimaanishi kwamba ni mtwaraCalm down my boy.Can you see yor dam Mtwara port on the far left???Unataka nikulte picha za Newyork nikuambie ni Mtwara...Stop being nonsensical.
Hakuna sehemu Arusha iko hivyoNakuambia Naivasha alone will finish that Arusha backwater of yours
View attachment 439304
Kwikwikwi.....Sour lazy bone losers.Did you have to comment....Kwenda uko ww uwepo wa bandari haimaanishi kwamba ni mtwara
Hakuna sehemu Arusha iko hivyo
Diani too...View attachment 439723 View attachment 439724 View attachment 439725 View attachment 439726 View attachment 439727 View attachment 439728 bliss resort nyali....and its not even among the prominent establishments at the coast
Mpumbavu wwDar es salam ni yetu tunaipenda Lakini ukweli , Nairobi wametupita....sana ....kiuchumi wao ni Midle class economy. ..
Lakini baada ya uhuru Dar haikua hivi ..ilikua imepangika kisawa sawa, mji mdogo lakini kule tulipo panua ikawa mjanga, na sehemu tuloachiwa na wazungu tukazivuruga.
Lakini yote ni kwa sababu ya kusoma namba tangu uhuru...na hili jiji haliyobadilika, kigali itatuacha, mogadishi itatuacha , kampala itatuacha, khatoum itatuacha..Nusra yetu ni kukataa kabisa kabisa kuhesabu namba
Mpumbavu ww
StopTihihihihi...That is one sober Tanzanian.It is good to be truthful to oneself.
Umeiga ndugu tunga yako wakenya mnajifanya waswahili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uswahili wenyewe hamuuweziKwikwikwi.....Sour lazy bone losers.Did you have to comment....
Sasa Ushamba wa nini?Wanjala punguza ushamba
Vitu vya kawaida we unaviona vya ajabu kama sio uxhamba ni nini?Sasa Ushamba wa nini?
Narudia tena kukwambia hapo si Arusha rafikiUnga limited my good friend.Do not burry your head in the sand.
Narudia tena kukwambia hapo si Arusha rafiki
Dude unataka tuanze kuipambanisha Arusha na Naivasha.. Sema tu niite timu hapa uone mtakavyokimbizwaNa narudia tena kukuambia tembea nenda ufike Unga Limited.Ama unataka more pictures of the slum
Mm nimezaliwa na mpaka sasa naishi arusha....unga limited kuna makazi duni kweli hilo halina ubishi lakini hiyo picha uliyoweka sio ungalimited wala sio arusha..!Na narudia tena kukuambia tembea nenda ufike Unga Limited.Ama unataka more pictures of the slum
Sielewe kawaida kwako inamaana gani basi niambie wapi tropical Afrika umesikia kuna ice rink? Niambie kama huko Dar es salaam kuna mahali panchezwa ice hockey, ice skiing nk? Ukinionyesha basi ntakubali kuwa mi ni mshamba hakika. Usipo basi wewe uwe mshamba!!!Vitu vya kawaida we unaviona vya ajabu kama sio uxhamba ni nini?