Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Unapiga picha za vijijini unasema mtwara mpuuzi !!!!!
Calm down my boy.Can you see your dam Mtwara port on the far left???Unataka nikuletee picha za Newyork nikuambie ni Mtwara...Stop being nonsensical.
 
Calm down my boy.Can you see yor dam Mtwara port on the far left???Unataka nikulte picha za Newyork nikuambie ni Mtwara...Stop being nonsensical.
Kwenda uko ww uwepo wa bandari haimaanishi kwamba ni mtwara
 
download (1).jpg
images (2).jpg
images (1).jpg
images (4).jpg
images (5).jpg
images (4).jpg
bliss resort nyali....and its not even among the prominent establishments at the coast
 
Dar es salam ni yetu tunaipenda Lakini ukweli , Nairobi wametupita....sana ....kiuchumi wao ni Midle class economy. ..
Lakini baada ya uhuru Dar haikua hivi ..ilikua imepangika kisawa sawa, mji mdogo lakini kule tulipo panua ikawa mjanga, na sehemu tuloachiwa na wazungu tukazivuruga.
Lakini yote ni kwa sababu ya kusoma namba tangu uhuru...na hili jiji haliyobadilika, kigali itatuacha, mogadishi itatuacha , kampala itatuacha, khatoum itatuacha..Nusra yetu ni kukataa kabisa kabisa kuhesabu namba
 
Mpumbavu ww
 
Kwikwikwi.....Sour lazy bone losers.Did you have to comment....
Umeiga ndugu tunga yako wakenya mnajifanya waswahili [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uswahili wenyewe hamuuwezi
 
Na narudia tena kukuambia tembea nenda ufike Unga Limited.Ama unataka more pictures of the slum
Dude unataka tuanze kuipambanisha Arusha na Naivasha.. Sema tu niite timu hapa uone mtakavyokimbizwa
 
Na narudia tena kukuambia tembea nenda ufike Unga Limited.Ama unataka more pictures of the slum
Mm nimezaliwa na mpaka sasa naishi arusha....unga limited kuna makazi duni kweli hilo halina ubishi lakini hiyo picha uliyoweka sio ungalimited wala sio arusha..!
 
Vitu vya kawaida we unaviona vya ajabu kama sio uxhamba ni nini?
Sielewe kawaida kwako inamaana gani basi niambie wapi tropical Afrika umesikia kuna ice rink? Niambie kama huko Dar es salaam kuna mahali panchezwa ice hockey, ice skiing nk? Ukinionyesha basi ntakubali kuwa mi ni mshamba hakika. Usipo basi wewe uwe mshamba!!!
Panari Hotel Nairobi
solar-ice-rink-3.jpg

solar-ice-rink-2.jpg

Haya kazi kwako!!
 
Back
Top Bottom