Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Ikielewa maana ya "Kawaida" ambayo ni neno la kiswahili lugha yenu utajijibu hilo swali vyema
Ningekuwa mwalimu ningekupa alama ya 20/100 kwa kuandika tuu, lakini sio kwa kujibu swali. I'm being generous, very generous. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ningekuwa mwalimu ningekupa alama ya 20/100 kwa kuandika tuu, lakini sio kwa kujibu swali. I'm being generous, very generous. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Ni sawa, wafunze hao wabongo wenzako wapite mitihani sijui ama wanafeli sababu walimu wenyu wako kama wewe!!!
 
Nairobi Kenya, mji wa wajanja
CyFkU6UUsAAN_vl.jpg
 
Hahah! Ni sawa, wafunze hao wabongo wenzako wapite mitihani sijui ama wanafeli sababu walimu wenyu wako kama wewe!!!
Wakifeli maana hawajaiba mitinani, tunajuwa wakenya wengi wanaiba mitinani kwahiyo kwenu kuna majibu "hewa".
 
Wakifeli maana hawajaiba mitinani, tunajuwa wakenya wengi wanaiba mitinani kwahiyo kwenu kuna majibu "hewa".
Hahahaa...Tanzania-Invigilators cause exam leakage
Shock as 60% of Tanzanian students fail National Examination....
Hapo nayo sijawahi elewa mpaka wa leo
 
Hahahaa...Tanzania-Invigilators cause exam leakage
Shock as 60% of Tanzanian students fail National Examination....
Hapo nayo sijawahi elewa mpaka wa leo
Kweli, unajuwa ni kwanini, ni kwasababu hatuna laptop from class one, laptop inasaidia sana, huna haja ya kusoma wala kuandika, majibu yote yapo ndani ya laptop.
 
Kila jiji sasa Kenya inakuwa ya wajanja...I am imagining 10 years from now,,,I pray to God that we shall be alive,We shall have 47 plus strong cities....
Hayo yote yatakua Kenya pekee Au?
 
Wazee kiswahili mimi form four nilipata D alafu English C kwahyo kiswahili nacho sio mchezo....
Nikiweza kufaulu sana science
 
Back
Top Bottom