Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Ikielewa maana ya "Kawaida" ambayo ni neno la kiswahili lugha yenu utajijibu hilo swali vyemaKwa hiyo kesho Uganda au Rwandan au Tanzania wakijenga ice rink, itakuwa kitu cha kawaida au kitu cha ajabu? considering nchi zote hizo ziko tropical.