Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Ikielewa maana ya "Kawaida" ambayo ni neno la kiswahili lugha yenu utajijibu hilo swali vyemaKwa hiyo kesho Uganda au Rwandan au Tanzania wakijenga ice rink, itakuwa kitu cha kawaida au kitu cha ajabu? considering nchi zote hizo ziko tropical.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] njoo UDSM ufundishwe Kiswahili and remember wateKENYWA hamna Lugha
English asili yake inajulikana na Kiswahili vlevle
Ningekuwa mwalimu ningekupa alama ya 20/100 kwa kuandika tuu, lakini sio kwa kujibu swali. I'm being generous, very generous. [emoji23][emoji23][emoji23]Ikielewa maana ya "Kawaida" ambayo ni neno la kiswahili lugha yenu utajijibu hilo swali vyema
Hahah! Ni sawa, wafunze hao wabongo wenzako wapite mitihani sijui ama wanafeli sababu walimu wenyu wako kama wewe!!!Ningekuwa mwalimu ningekupa alama ya 20/100 kwa kuandika tuu, lakini sio kwa kujibu swali. I'm being generous, very generous. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakifeli maana hawajaiba mitinani, tunajuwa wakenya wengi wanaiba mitinani kwahiyo kwenu kuna majibu "hewa".Hahah! Ni sawa, wafunze hao wabongo wenzako wapite mitihani sijui ama wanafeli sababu walimu wenyu wako kama wewe!!!
*JIJI* la wajanjaNairobi Kenya, mji wa wajanja
Hahahaa...Tanzania-Invigilators cause exam leakageWakifeli maana hawajaiba mitinani, tunajuwa wakenya wengi wanaiba mitinani kwahiyo kwenu kuna majibu "hewa".
*JIJI* la wajanja
Kweli, unajuwa ni kwanini, ni kwasababu hatuna laptop from class one, laptop inasaidia sana, huna haja ya kusoma wala kuandika, majibu yote yapo ndani ya laptop.Hahahaa...Tanzania-Invigilators cause exam leakage
Shock as 60% of Tanzanian students fail National Examination....
Hapo nayo sijawahi elewa mpaka wa leo
Kweli, unajuwa ni kwanini, ni kwasababu hatuna laptop from class one, laptop inasaidia sana, huna haja ya kusoma wala kuandika, majibu yote yapo ndani ya laptop.
Well, English asili yake Kenya and Kiswahili as wellKweli usipopata mtu wa kukudanganya unajidanganya mwenyewe.
Goood!Well, English asili yake Kenya and Kiswahili as well
Hivi kulingana nawe asili ya Kiswahili ni wapi?Well, English asili yake Kenya and Kiswahili as well
Hayo yote yatakua Kenya pekee Au?Kila jiji sasa Kenya inakuwa ya wajanja...I am imagining 10 years from now,,,I pray to God that we shall be alive,We shall have 47 plus strong cities....
Hayo yote yatakua Kenya pekee Au?
Only 4 towers na unasema shut up??! What if zingekuwa nyingi na ndefu kama za Nairobi je?Shut Up [emoji45] [emoji45] [emoji45]