Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

lancanshire

NGONG Racecourse



Koroga Festival Nairobi

CAMEROUNIAN JAZZ MUCISIAN MALIAN MUSICIANS AND CUBAN MUSICIANS


 

dar...





  1. Report
    Like- 1 people like+ QuoteReply
 
Below is a list of Eastern Africa's largest cities in descending order by city boundary pop

Dar city pop- 4,360,000. Dar métro pop-4,360,000 (has no metro)

Khartoum city pop- 3,400,000. Khartoum metro pop - 5,185,000

Addis city pop - 3,385,000. Addis metro pop - 4,568,000

Nai city pop- 3,200,000. Nai metro pop - 6,550,000

Kampala city pop- 1,700,000. Kampala metro pop- 2,000,000+

Mombasa city pop- 1,300,000. Mombasa metro pop- 2,000,000

From the above, Dar is the largest city in pop by city proper. But when the city metro (kwa wale hawaelewi, metro kwa kiswahili ni jiji na viunga vyake) pop is taken, Nai leads while the former plummets to fourth
 
hahahha hii mjadala wa kenye na Tz huwa haishi,by the way kwa sisi tulioishi sehemu zote Nairobi na Dar es salaam tunelewa.Tanzania tunawazidi kenye kwa kuwa na Wanawake wazuri,resources nyingi na maliasili nyingi vingine vyote kenya wapo zaidi yetu tena kwa mbali sana
 
.....Too much bird view images wacha niwape ground level
Kenyan neighbourhood views



 

kwa uchambuzi wako basi MWANZA ndo itakuja kuwa jiji kubwa la kibiashara katika nchi za maziwa makuu. rocky city stand up
 
Mbona hapa naona Wabongo wanachanganya picha za Nairobi pangani wakisema ni Dar.. doh, kwani hawahamu jiji lao ama vipi? ama tuseme ni matamanio!! Hmm, Kenya sisi picha ni nyingi na haziishi hatakupost kwa maelfu. Hii hapa moja ya Nairobi metro, sehemu inayotwa Kiambu. Sehemu hii ni ya Kuchezea michezo tofautitofauti!!!!
 
Tuseme kwamba Dar inayo majumba marefu mangapi? Kila mara nikiangalia naona haya manne tu! sijui Mzizima sijui nini, hakuna maeno mengine kuna majumba marefu hapo DAr..? Wajua Kenya unayapata CBD, Kilimani, Upperhill, Westilands etc. Kama hili jipya la Westlands

Hili hapa linatazamiwa kuwa jumba smart sana.. Kenya Beauty, Swahili architecture huko kilimani
 
Ukwel ni kwamba Dar es salaam imeka vizur kama waki upanga mji vizuri.

Ila kwa sasa huwez fananisha Nairobi na Dar es salaam .Nairob city ipo juu ....Nairob wameweza kuupanga mji wao vizur sn japo wanao watu wengi wanaishi kweny slums .

Jaman tuwe wakwel WATANZANIA japo mchungu Dar es salaam ni kichefuchefu kwa kweli aslimia 75% ya makazi ya watu ni UNPLANNED sasa cjui tunajisif kwa lipi .

Hawa maafisa wa mipango miji wana takiwa wafungwe kwa kwakwel wametuharibia Dar yetu.
 
Nairobi inanyumba ndefu ngapi[emoji35]
 
Kabla niendelee, nataka kujua kama kuna tofauti kati ya dar mkoa na dar jiji kwa usimamizi wake na eneo
 

Hayo majumba nimarefu kwa Dar....kuna machache ambayo hayapo apo CBD ambayo nimarefu pia. ....
 
Mimi nakubaliana kuwa Dar es Salaam ni kubwa kuliko Nairobi na pia kwa City Proper, Dar ina watu wengi kuliko Nairobi. LAKINI, ni ukweli ulio wazi kuwa kwa maendeleo, miundombinu, Nairobi hatuwawezi, huo ni ukweli ambao hatuwez kuukwepa. Ama kuhusu maudhui ya andiko hili, Dar bado tunayo fursa tukijipanga na kuwa jiji leading E&C Africa.
Nguvu, ari na uwezo huo tunao, hatujachelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…