Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha hata Niache tu!!Sam...Stop arguing with porridge head mad men....You will get a headache already.They will NOT understand a thing
Nawasalimia wana JF wote.
Leo ni siku njema tumeamka salama.
Dar es salaam yaani Bongo ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi.
Eneo la mraba la dar es salaam ni km za mraba 1590.5 huku ukubwa wa Nairobi ni kilomita za mraba 698.
Huku dar es salam estimation ya population ya dar es salaam ikiwa ni 4,360,000 huku nairobi ikiwa ni 3,200,000
Kwahiyi basi dar es salaam ipo na akiba kubwa ya eneo na haijawa na density kubwa ya watu ukilinganisha na Nairobi.
Uwezekano wa kuuendeleza na kuwa modern city ni mkubwa sana ukilinganisha na Nairobi.
Halafu jambo jingine la muhimu kuelewa. Sasa hivi Tanzania ipo na mpango kabambe wa kuhamishia shughuli zote za serikali Dodoma na tayari office ya waziri mkuu imeshahamia.
Sasa basi kuhamia Dodoma kutaifanya Dar es salaam iwe na nafasi kubwa na kubaki mji wa kibiashara Africa Mashariki na Kati.
Hayo maoni yangu.
Vipi ndugu zangu wakenya mnasemaje?
Sources
Nairobi - Wikipedia
Dar es Salaam - Wikipedia
😀😀😀😀!....Sammuel999 huwa huchelewi kuwatupia dose!..tehehehehhe!Yeah jibambe View attachment 433040View attachment 433041View attachment 433042View attachment 433043View attachment 433044View attachment 433046View attachment 433047View attachment 433048View attachment 433049View attachment 433050View attachment 433051View attachment 433052View attachment 433053
Anyway Let me excuse you!!
View attachment 433054
lancanshire
NGONG Racecourse
View attachment 433260
Koroga Festival Nairobi
CAMEROUNIAN JAZZ MUCISIAN MALIAN MUSICIANS AND CUBAN MUSICIANS
View attachment 433261View attachment 433262View attachment 433263View attachment 433264
hahahha hii mjadala wa kenye na Tz huwa haishi,by the way kwa sisi tulioishi sehemu zote Nairobi na Dar es salaam tunelewa.Tanzania tunawazidi kenye kwa kuwa na Wanawake wazuri,resources nyingi na maliasili nyingi vingine vyote kenya wapo zaidi yetu tena kwa mbali sana
Hizi ni picha za Nairobi wala sio za Dar.
Nawasalimia wana JF wote.
Leo ni siku njema tumeamka salama.
Dar es salaam yaani Bongo ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi.
Eneo la mraba la dar es salaam ni km za mraba 1590.5 huku ukubwa wa Nairobi ni kilomita za mraba 698.
Huku dar es salam estimation ya population ya dar es salaam ikiwa ni 4,360,000 huku nairobi ikiwa ni 3,200,000
Kwahiyi basi dar es salaam ipo na akiba kubwa ya eneo na haijawa na density kubwa ya watu ukilinganisha na Nairobi.
Uwezekano wa kuuendeleza na kuwa modern city ni mkubwa sana ukilinganisha na Nairobi.
Halafu jambo jingine la muhimu kuelewa. Sasa hivi Tanzania ipo na mpango kabambe wa kuhamishia shughuli zote za serikali Dodoma na tayari office ya waziri mkuu imeshahamia.
Sasa basi kuhamia Dodoma kutaifanya Dar es salaam iwe na nafasi kubwa na kubaki mji wa kibiashara Africa Mashariki na Kati.
Hayo maoni yangu.
Vipi ndugu zangu wakenya mnasemaje?
Sources
Nairobi - Wikipedia
Dar es Salaam - Wikipedia
Mimi nakubaliana kuwa Dar es Salaam ni kubwa kuliko Nairobi na pia kwa City Proper, Dar ina watu wengi kuliko Nairobi. LAKINI, ni ukweli ulio wazi kuwa kwa maendeleo, miundombinu, Nairobi hatuwawezi, huo ni ukweli ambao hatuwez kuukwepa. Ama kuhusu maudhui ya andiko hili, Dar bado tunayo fursa tukijipanga na kuwa jiji leading E&C Africa.hahahha hii mjadala wa kenye na Tz huwa haishi,by the way kwa sisi tulioishi sehemu zote Nairobi na Dar es salaam tunelewa.Tanzania tunawazidi kenye kwa kuwa na Wanawake wazuri,resources nyingi na maliasili nyingi vingine vyote kenya wapo zaidi yetu tena kwa mbali sana