Acha kulinganisha arusha na vitu vya ajabu mkuu..!
Pwahahaaa....Arusha ninayoijua???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulinganisha arusha na vitu vya ajabu mkuu..!
Arusha nipazuri bana embu kua muwazi tu....
Sakina hapo "a" townni kama choooo vile daaaah!!! Jiji kama kijiji vile,no planning at all....Jipangeni upya jamanPwahahaaa....Arusha ninayoijua???
Sakina hapo "a" townni kama choooo vile daaaah!!! Jiji kama kijiji vile,no planning at all....Jipangeni upya jaman
Kwani kuna mji Kenya hauna makazi duni?? Acheni taarabu zenu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mipango miji kwa sasa are doing their best to plan town and cities ..uko awali walizembea sana....gov was corrupt ndio tatizo kubwa....kuhusu kuwasaidia wananchi hyo ni ngumu.....kila mtu akazekusaka pesa. ...Hatukatai lakini yenu ni Crime against humanity.The sad thing is your leaders aren't even thinking of helping the situation.
Mbona mnakimbilia ungalimited...kwani ni mji gani hauna slums hapa East Africa...ongeleeni na sehemu kmNa Pale Unga Limited....Poverty and Prostitution are friends there.
Mbona mnakimbilia ungalimited...kwani ni mji gani hauna slums hapa East Africa...ongeleeni na sehemu km View attachment 434530View attachment 434531View attachment 434532View attachment 434533View attachment 434534View attachment 434535km hizi maana hata hapa pia ni arushaView attachment 434529
Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.Kwani kuna mji Kenya hauna makazi duni?? Acheni taarabu zenu
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nairobi was planned na mkoloni, kwasababu mkoloni aliamini kama hata kuja kuondoka kenya. So akaichora kama anavyo penda yeye mkoloni, ukienda sehemu nyingi utaona ni mkono wa mwingireza ndio iliyechora na kujenga. Kwa Tanzania sisi tulikuwa ni koloni la kushikilia tuu, wala mwingereza hakuwa na haja ya kuweka hela yoyote, mpaka tulipo fika hapa ni nguvu yetu wenyewe bila ya misaada wa mkoloni. Lakini kwa mji wa Dar, Mwanza na Arusha michoro yake ilisha kamilika kutoka Singapore. Ngoja serikali imalize kuhamia Dodoma, fujo ya kujenga Dar ianze, unavyoiona Dar leo haitakuwa hivyo tena.Mipango miji kwa sasa are doing their best to plan town and cities ..uko awali walizembea sana....gov was corrupt ndio tatizo kubwa....kuhusu kuwasaidia wananchi hyo ni ngumu.....kila mtu akazekusaka pesa. ...
Nairobi was planned na mkoloni, kwasababu mkoloni aliamini kama hata kuja kuondoka kenya. So akaichora kama anavyo penda yeye mkoloni, ukienda sehemu nyingi utaona ni mkono wa mwingireza ndio iliyechora na kujenga. Kwa Tanzania sisi tulikuwa ni koloni la kushikilia tuu, wala mwingereza hakuwa na haja ya kuweka hela yoyote, mpaka tulipo fika hapa ni nguvu yetu wenyewe bila ya misaada wa mkoloni. Lakini kwa mji wa Dar, Mwanza na Arusha michoro yake ilisha kamilika kutoka
Singapore. Ngoja serikali imalize kuhamia Dodoma, fujo ya kujenga Dar ianze,
unavyoiona Dar leo haitakuwa hivyo tena.
Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.
Alaa! Kwa hivyo mnakiri kuwa kila mji Africa ina slums, na sio miji za Kenya tuu?Mbona mnakimbilia ungalimited...kwani ni mji gani hauna slums hapa East Africa...ongeleeni na sehemu km View attachment 434530View attachment 434531View attachment 434532View attachment 434533View attachment 434534View attachment 434535km hizi maana hata hapa pia ni arushaView attachment 434529
Eastleigh si slum, Kariobangi pia sio slum hasa. Labda Kibera.Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.
Maeneo ya Kariobangi Eastlands, hayo...Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.
That's why you people are soo backward...Kila kitu kizuri mnakiuzisha na mzungu...Ati mwafrika hawezifanya.....My foot.!Rotten foot!!Aaarg!
Geografia yako kuhusu kenya ni ya kusikia tuu...You have No idea how Kenya looks like.Tembea uone mengi.Acha kula tu papa hapo vijiweni