Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Dar es Salaam ina eneo kubwa zaidi ya Nairobi

Arusha nipazuri bana embu kua muwazi tu....
 
Sakina hapo "a" townni kama choooo vile daaaah!!! Jiji kama kijiji vile,no planning at all....Jipangeni upya jaman

Na Pale Unga Limited....Poverty and Prostitution are friends there.
 
Hatukatai lakini yenu ni Crime against humanity.The sad thing is your leaders aren't even thinking of helping the situation.
Mipango miji kwa sasa are doing their best to plan town and cities ..uko awali walizembea sana....gov was corrupt ndio tatizo kubwa....kuhusu kuwasaidia wananchi hyo ni ngumu.....kila mtu akazekusaka pesa. ...
 
Na Pale Unga Limited....Poverty and Prostitution are friends there.
Mbona mnakimbilia ungalimited...kwani ni mji gani hauna slums hapa East Africa...ongeleeni na sehemu km
1479208253134.jpg
1479208271472.jpg
1479208284434.jpg
1479208298577.jpg
1479208322144.jpg
1479208336436.jpg
km hizi maana hata hapa pia ni arusha
1479208177995.jpg
 
Mbona mnakimbilia ungalimited...kwani ni mji gani hauna slums hapa East Africa...ongeleeni na sehemu km View attachment 434530View attachment 434531View attachment 434532View attachment 434533View attachment 434534View attachment 434535km hizi maana hata hapa pia ni arushaView attachment 434529

Pwahahaaa....I am done with you.So today for the first time you admit all EAC /African/World cities have slums.....Huma mnauhurumisha sana na kujifanya angel angel hivi......Now we are talking.
 
Kwani kuna mji Kenya hauna makazi duni?? Acheni taarabu zenu

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.
 
Mipango miji kwa sasa are doing their best to plan town and cities ..uko awali walizembea sana....gov was corrupt ndio tatizo kubwa....kuhusu kuwasaidia wananchi hyo ni ngumu.....kila mtu akazekusaka pesa. ...
Nairobi was planned na mkoloni, kwasababu mkoloni aliamini kama hata kuja kuondoka kenya. So akaichora kama anavyo penda yeye mkoloni, ukienda sehemu nyingi utaona ni mkono wa mwingireza ndio iliyechora na kujenga. Kwa Tanzania sisi tulikuwa ni koloni la kushikilia tuu, wala mwingereza hakuwa na haja ya kuweka hela yoyote, mpaka tulipo fika hapa ni nguvu yetu wenyewe bila ya misaada wa mkoloni. Lakini kwa mji wa Dar, Mwanza na Arusha michoro yake ilisha kamilika kutoka Singapore. Ngoja serikali imalize kuhamia Dodoma, fujo ya kujenga Dar ianze, unavyoiona Dar leo haitakuwa hivyo tena.
 
Nairobi was planned na mkoloni, kwasababu mkoloni aliamini kama hata kuja kuondoka kenya. So akaichora kama anavyo penda yeye mkoloni, ukienda sehemu nyingi utaona ni mkono wa mwingireza ndio iliyechora na kujenga. Kwa Tanzania sisi tulikuwa ni koloni la kushikilia tuu, wala mwingereza hakuwa na haja ya kuweka hela yoyote, mpaka tulipo fika hapa ni nguvu yetu wenyewe bila ya misaada wa mkoloni. Lakini kwa mji wa Dar, Mwanza na Arusha michoro yake ilisha kamilika kutoka
Singapore. Ngoja serikali imalize kuhamia Dodoma, fujo ya kujenga Dar ianze,
unavyoiona Dar leo haitakuwa hivyo tena.

That's why you people are soo backward...Kila kitu kizuri mnakiuzisha na mzungu...Ati mwafrika hawezifanya.....My foot.!Rotten foot!!Aaarg!
 
Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.

Geografia yako kuhusu kenya ni ya kusikia tuu...You have No idea how Kenya looks like.Tembea uone mengi.Acha kula tu papa hapo vijiweni
 
Eastleigh si slum, Kariobangi pia sio slum hasa. Labda Kibera.
Jinsi wewe huandika humu, nilidhani wewe ni mtu uko very exposed, Kenya unapajua vizuri......

Eastleigh...ni mtaa unaokaliwa hasa na wasomali wengi na wahabeshi wachache. Ndo maana unaitwa kiutani na wakenya "small Mogadishu" or "The Capital of Somalia".

Eastleigh2.jpg

The bad road which took some time to complete, turning the place into a total chaos.....but it is okay now.
ly9ySji.jpg

8142021890_99f1c6230b_c.jpg

8142096108_1d52f036c2_c.jpg

16062422382_f3b7995b3c_b.jpg

16063122845_16257d74ca_b.jpg

Maeneo duni yapo mengi tuu, labda kupita Tanzania, Google EastLeigh, Kibera, Kariobangi. Halafu Kenya tofauti na Tanzania sisi tumejichanganganya nchi nzima, wao wananchi wengi wanaishi kusi mwa nchi tuu, tokea mombasa mpaka kisumu. Kaskazini kote ni jangwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kuweka kambi za wakimbizi wa Somalia ili wachomwe na jua mpaka waombe poo.
Maeneo ya Kariobangi Eastlands, hayo...
Eastlands.jpg
 
That's why you people are soo backward...Kila kitu kizuri mnakiuzisha na mzungu...Ati mwafrika hawezifanya.....My foot.!Rotten foot!!Aaarg!

Watoto wa nineties hao, nenda Nairobi city councial ukaombe town planing ya 1960's. Baba, i've lived in kenya in 70's hapo hapo Dagoretti corner i know what I'm taking about na nimekuwa nakuja kenya many time (in fact i was there in July this year) the city center hasn't change much old Nairobi is still bright 'n' shining watu weusi wamejenga the outskirts and maybe one or two tower block but the rest is still in the development just like the rest other African cities.
 
Geografia yako kuhusu kenya ni ya kusikia tuu...You have No idea how Kenya looks like.Tembea uone mengi.Acha kula tu papa hapo vijiweni

Hahahahahaha........ wewe inabidi ukapewe kazi na Churchill. kwani kenya ni mbinguni? kwa mawazo yako mtu kama mimi mtanzania siwezi kuja Kenya
 
Back
Top Bottom