Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Ushamba ni kuonyesha vitu kama hivi na kusema ni vya maana sana. Kila mtu anajuwa ukiwa na hela utapata kila kitu, hivi ni vitu vya kawaida, hata Dubai (desert country) wana large indoor ski slop.Sielewe kawaida kwako inamaana gani basi niambie wapi tropical Afrika umesikia kuna ice rink? Niambie kama huko Dar es salaam kuna mahali panchezwa ice hockey, ice skiing nk? Ukinionyesha basi ntakubali kuwa mi ni mshamba hakika. Usipo basi wewe uwe mshamba!!!
Panari Hotel Nairobi
![]()
![]()
Haya kazi kwako!!