Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno!
Dar es Salaam ni jiji lihitajilo kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia.
Makundi kama panya road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye uwepo.
Makonda pamoja na mapungufu yake lakini aliwaweza ma mafia wa Dar kwa sababu yeye pia alikuwa mafia na mbabe aliyewezeshwa kuwa.
Dar ya kiswahili ilikoma na akina Ditopile.
Siioni Dar iliyo salama kama itaendelea kuongozwa na viongozi waswahili wanao ishi kiswahili na ma mafia waswahili wa Bongo darisalama. View attachment 2358900
Makala haiwezi Dar es Salaam na kamwe hatoiweza kwa sababu ni mswahili mno!
Dar es Salaam ni Jiji lihitajilo Kiongozi mafia hasa kwa sababu ya uwingi wa wakazi wake kuwa ma mafia.
Makundi kama Panya Road si ya kuyapigia ngojera kwenye mic kisiasa bali ili yakomeshwe inapasa umafia ndaniye uwepo.
Makonda pamoja na mapungufu yake lakini aliwaweza ma mafia wa Dar kwa sababu yeye pia alikuwa mafia na mbabe aliyewezeshwa kuwa.
Dar ya kiswahili ilikoma na akina Ditopile.
Siioni Dar iliyo salama kama itaendelea kuongozwa na Viongozi waswahili wanao ishi kiswahili na ma mafia waswahili wa Bongo Darisalama. View attachment 2358900
RC wa DSM anapaswa apokeee ushauri unao tolewa bure kabisa, ni kweli jiji limepwaya, Panya rodi wana chezea sharabu wanavyo taka.
Kamati ya ulinzi ya mkoa inafanya nini hadi wahalifu waibuke kwa kasi?!!
Hatuhitaji maneno mengi bali wakazi wa DSM wanataka matendo zaidi.
viongozi wetu wa mkoa wanapoteza muda mwingi kudili na mambo ambayo sio serious, lkn inapokuja mambo serious.....hawaeleweki.