Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

DIT Mungu akijaalia nikimaliza...diploma sipepesi macho wala sigeuki nyuma...nakwenda MUST au ATC kutafuta Degree...huu ni ukiritimba yaani wanafanya vitu kikoloni sana...hata matokeo yenyewe yamechelewa kutoka, hata kulipia ada ya semester ya pili tumetumiwa PDF lenye majina ya wanafunzi wotee chuo kizima utafute jina lako na control number ndo ulipie ada...[emoji706][emoji706]
 
Na kuna watu mpaka leo matokeo yao yamezuiwa, na hawajui mpaka sasa kuwa wamepata supp au laa
 
Chuo bora kwa Tekinolojia Tanzanaia.
 
Habar wana jamvi.
Naomba kufahamishwa, hivi lile jengo la teaching tower pale DIT lilijengwa mwaka gani?
 
Aisee nishazoea kuona watu wakilipa Ada karibia na End of semester... Sasaivi kuna watu wnaaliaa tu huko kwa register... Dirisha la kulipa Ada lilivyofungwa basiii hawajatoa hata muda wa nyongeza...watu wanahela mkononi ila wameambiwa waandike barua za kupostpon mwaka
 
Nimepata c masomo ya art yote kasoro math ndio Nina f. Form four course GAni
Nzuri naweza apply msaada wenu tafadhal
 
Naomba kufahamu kati ya Computer science, Computer engineering, IT na ICT ipi ni Bora na inafursa nyingi sokoni.?
 
Naomba kufahamu kati ya Computer science, Computer engineering, IT na ICT ipi ni Bora na inafursa nyingi sokoni.?
 
MSAADA WANA DIT
1.leo ni 11/06/2022,je tangazo la kujiunga kwa bachellors degrees 2022/23 limeshatoka?kwenye website ya chuo naona tu la diploma.
2..website zifuatazo za chuo hazifunguki kabisa,hata ukiamka saa nane usiku
1.osim.dit.ac.tz
2.admission.dit.ac.tz
3.soma.dit.ac.tz
kama website hizo hazifunguki,form za kujiunga bachellor degree 2022/2023 ntapata wapi,nipo dar,,msaada tafadhali.
 

Hilo la majina PDF sidhan kama ulikua na sababu ya kulalamika. Siku hizi PDF pale juu ina Option ya Search, andika neno( jina) halafu ruhusu PDF ifanye Search, majina yote yenye kufanana na la kwako yatakuja, na utajua status yako. Ama mambo mengine yaliyolalamikiwa nafikiri ni wakati sasa DIT kufanya mambo yawe rahisi ili kupunguza adha kwa wadau
 
Samahani!!! Nimefeli advance PCM Nimepata DEE nimeioenda kozi ya BIOMEDICAL ENGINEERING But nimekata tamaa ya kusoma tena!
nipo katika hatua za mwisho katika kufanya maamuzi hasa nikihisi nitapoteza muda kusoma kitu ambacho sina hata connection!!
Maana nshakatishwa tamaa wenzangu wanaenda Degree but mimi inaniuma nikienda Diploma !!
Sorry [emoji52] nini Ushauri wako juu ya kusoma diploma kozi hiyo???
 
B
Believe me bro.. diploma ndio watu wanaoajirika kwa sasa iv kuliko hao wa degree..
Mimi nimesoma diploma na degree zote za electrical nakwambia hiki kitu ni real.. sema kwenye kozi apo badilisha uchukue electrical au civil au mechanical.. izo zingine hazina wigo mpana.. fanya ivo bro utakuja kunishkuru tena ondoa hayo mawazo ya kukata tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…