Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Big upppp sana!!! thanks!
 
basi hakuna haja ya kubishana tena...ubora wa chuo ni products zake na sio jina kama chuo flani kinachosifiwa kwa kuwa na elimu bora tz kumbe ni hewa tu....katika maswala ya uhandisi wa ujenzi na technolojia DIT wanastahili sana pongezi....
Sema UDSM unaficha ficha nini.

Hiki chuo hata sijui kimelogwa na nani. Acha nisiendelee. Naama mafisi yanajaa
 
Jamani hivi IR LED na Photodiode nivipate Duka gani hapa mjini?

Mwenyekujua anielekeze
 
Siku ukienda dit kusoma diploma utakutana na hao wa degree mnashare baadhi ya module ndo utagundua wewe mdo unasoma msingi wa kozi yako kuzidi wao
 
samahani jamani msaada namna ya kureset password ya dit mdogo wangu kaaply diploma sasa kasahau password yke, nimepambana kma siku tatu ila bado inasumbua , naomba msaada wenu
 
Hiki chuo pamoja na kile cha Mbeya na Arusha vilianzishwa maksusi kutengeneza mafundi mchundo Full Technician certificate aka FTC kwa ajili ya viwanda wakati wa Serikali ya Mwalimu Nyerere.

Vyuo hivi nguli 3 wakati huo vikiitwa Dar Tech, Arusha Tech na Mbeya Tech vilipokea wanafunzi toka shule za kitaifa za ufundi za Ifunda, Moshi Tech, Tanga Tech na nyingine chache ambazo zilifundisha watoto kuwa mafundi.

Tangu sera yetu ya elimu ivurugike, vyuo hivi sasa vimegeuka kutengeneza Ma-Engineer ambao ki-uhalisia ni ma-engineer wa vitabuni tu, ujuzi wa kazi hamna.

Sisi Tanzania tuna matatizo mengi.
 
Habari wakuu samahan naomba kuuliza,na mdogo wangu WA kike kamaliza form four alisoma masomo ya art na kapata four ya 28 ,NAMPANGO wakumpeleka veta akasome motor vehicle mechanics ,swali langu ni je akihitimu mafunzo veta akapata FTC Anaweza kuapply kusoma diploma hapo chuoni kwenu au Hakuna uwezekano huo naomba msaada wenu wakuu
 

yah ndio inavyokua mpeleke VETA akimaliza level 3 sio FTC ...FTC NI DIPLOMA HIYO zamani ndio ilikua inaitwa FTC. .... hapo DIT ataanza level 4 then 5 (ndo technician) then 6)level 6 ndio DIPLOMA au FULL TECHNICIAN . KILA LA HERI
 
Tally accounting package expert available

Huduma zifuatazo zinapatikana kwa watumiaji wote wa accounting package ya tally na kwa wale ambao wanataka kuanza kutumia



- Kufanya installation ya license mpya

- Kufanya renewal ya license

- Ku setup chart of accounts na opening balance

- Ku split data according to financial years

- Kufanya data entry kwa niaba ya mteja

- Kufanya implementation ya data kwa ajili ya watumiaji wapya na wale ambao wanaitumia pia

- Ku solve connectivity issues, memory access violation etc

- Kufanya migration of data

- Ku set up Remote user

- Ku set Logo kwenye invoice



Kwa maelezo zaidi nitumie message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…