Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Kuhusu direct entry pale DIT kama mtu ana vigezo vyote yaani Credit 3 za Math,Physics na Chemistry halafu na credits za masomo yanayobaki anazo atakuwa government sponsored au kigezo hicho ni kwa anayechaguliwa kutoka shuleni tu?
sijaelewaa hii naombaa nipate maelezoo mazur nahitajii hii
 
CTO ulivyo zitaja izo sehemu umenifurahisha sana, kijiwe changu cha kusomea ilikua ni C.B.E na I.F.M ah ah ah! Ukinikosa huko nipo room block v wapi mzee Liondo na Mkilamwene na Dr. Saa nane walikua wanafanya wanafunzi hatulali
mie nilikuwa natulia fish pond pale muda wote utankuta pale
 
Nimeingia kwenye website yao. Very, very shallow, inazidiwa hata na website za baadhi ya Vocational Training Centers! Hakuna cha prospectus wala nini, hiyo Prospectus itakuwa shughli kuipata!
Hujui unachoongea
 
Hii thread inanipa raha, nafurahi kuona kuna DIT wengi ndani ya jamiiforums.

Ukweli ni kuwa DIT ni chuo pekee kinachotoa elimu bora ya engineering Tanzania, hata mlimani mbele ya DIT hawaoni ndani.

Siandiki kwa ushabiki bali nimeona mwenyewe sababu nimebahatika kufundisha na kusaili wanafunzi toka vyuo tofauti.

Long live DIT.
Mkuu naomba nikurudishe kwenye huu uzi wa nyuma kidogo. kuna mambo yanahitaji kuyajua hasa kuhusiana na DIT kwa level ya certificate au diploma kwa mtu aliyemaliza kidato cha cha nne vigezo vyake. Kama hautajali naomba tufatane inbox.
 
wakuu habari zenu! mimi naomba kujuzwa kuhusiana na gharama za chuo kwa mwaka kwa mtu anaeyechuku diploma ya MECHANICAL ENGINEERING kuanzia ada na kila kitu.
 
wakuu habari zenu! mimi naomba kujuzwa kuhusiana na gharama za chuo kwa mwaka kwa mtu anaeyechuku diploma ya MECHANICAL ENGINEERING kuanzia ada na kila kitu.
Ni vema ukatembelea chuo mwenyewe
Mimi ni applicant wa mwaka huu na intake hii ya September
Nlienda Jumanne pale Chuo wakasema information zote wataeka kwenye page yao Wiki ijayo
Hivyo pitia pale ufanye survey alaf urudi kwenye page for short summary[emoji19]
 
Kuhusu direct entry pale DIT kama mtu ana vigezo vyote yaani Credit 3 za Math,Physics na Chemistry halafu na credits za masomo yanayobaki anazo atakuwa government sponsored au kigezo hicho ni kwa anayechaguliwa kutoka shuleni tu?
GOV sponsor: Ni kwa wale wanaochaguliwa moja kwa moja kutoka Shule za Upili.
 
Ndugu wana JF nimechaguliwa diploma ya renewable energy technology DIT, je naweza kubadilisha nikishafika chuoni maana malengo yangu yalikuwa kusoma Civil Engineering
NDIO.

1) Wahi mapema ukabadilishe baada ya Chuo kufunguliwa au 2) Tafuta mtu wa kubadilishana nae alieko CE, Civil na anataka kwenda RET, Renewable.
 
Hii thread inanipa raha, nafurahi kuona kuna DIT wengi ndani ya jamiiforums.

Ukweli ni kuwa DIT ni chuo pekee kinachotoa elimu bora ya engineering Tanzania, hata mlimani mbele ya DIT hawaoni ndani.

Siandiki kwa ushabiki bali nimeona mwenyewe sababu nimebahatika kufundisha na kusaili wanafunzi toka vyuo tofauti.

Long live DIT.
Helloo, samahan mkuu, unaweza nisaidia kufahamu japo kirefu cha (CPT) course hapo dit kama unaifaham..........
 
Back
Top Bottom