Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Wadai plse plse naombeni msaada wenu hata wa Mawazo ya kujenga
Ninamdogo wangu yeye amefaulu vizur sn mitihan ya O level .div 1.ndoto yake asome DIT anze ngaz za chin wala sio form five na six
Sasa matokeo ya kupangiwa akawa amepangiwa form five wakati yeye hakujaza aende huko
Je atapataje nafasi DIT with government sponsorship?
 
Hilo la taa ni kweli tupu. Kwa miaka ya 2000' nilikua nazijua zile za Mnazi Mmoja.
 
Nasikia kuna kozi za Mafuta na gesi pamoja na Madini,zikiwa na Affiliation na Idara ya Uhandisi Ujenzi(Civil Engineering Dept.)! Kwa hili nawapongeza DIT. Lakini pia nawapongeza DIT kwa kupanua wigo,kwani wameanzisha Campus kule Mwanza.
Jambo moja ningewaomba DIT pamoja na kumiliki eneo la chuo pale lilipo,ningeishauri Management kufikiria kufanya yafuatayo:-
1.Kutafuta eneo lingine kubwa nje kidogo ya Dar kama Muhimbili walivyofanya kule Nloganzila-Kibamba
2.Kuanzisha Campus nyingine miji miwili ya Kistratejia-Dodoma na Mtwara. Dodoma kwa sababu ni makao makuu ya nchi. Mtwara ni kwa sababu italisha kanda ya kusini. Kumbuka kwa kuwa Mwanza kuna Campus,Mbeya kuna MUST,Arusha kuna TCA hivyo hakuna ulazima wa kuanzisha Campus kwenye miji hiyo. Kiukweli kama vyuo hivi vinavyotoa wataalam wa Technology vitapanua wigo wa kuongeza wataalam,kama Taifa tutafika mbali sana.
 
Nilikuwa nataka kujua taratib za evening class hapo chuon
Utaratib wake n.k
Nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matokeo ya application za mwaka wa masomo 2017/2018 diploma in mechanical engineering yanatoka lini tujuzane wakuu.

"the best never rest"
 
Majina yametoka kwa wale wa diploma ya electronics nd telecommunications engineering
 


RIP mzee Mtangoo tutakukumbuka daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…