Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] aisee
 
Nataka na Mimi kujiunga apo niambie. Nataka anza certificate so nataka kujua gharama ya ada kwa mwaka mfumo Wa ulipaji na nimwez wangapi wanaanza,vigezo vya kujiunga na namna ya Ku apply
Nisaidie ndugu yangu
 
Nime maliza kidato cha nne na kupata iii-23, phy-C, chem-D, b/math-C, bios-C Je! naweza kusoma hapo kozi ya machenical engeneering kwa kuanzia diploma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…