Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,299
mkuu ulikuwa kozi gani?, niko cbe nakula mapindi kesho test one zinaanzaMiaka 6 niliyotumia hapo DIT(OD 10&BENG 14) imenifungulia dunia. Maisha ya DIT yamenifunza mambo mengi sana.
Vijana mliopo hapo komaeni DIT ni sehemu sahihi sana,ukiiva vizuri DIT maisha ya mtaani utaona rahisi DIT ni zaidi ya elimu. Proudly to be there,long live DIT.
Nilisoma Electrical Engineering,siku ya kwanza kuingia darasani walimu wanalalamika "mpo wengi itabidi mpungue". Siku ya kumaliza ndo nilielewa walikua wanamaanisha nn, DIT is "survival of the fittest ".mkuu ulikuwa kozi gani?, niko cbe nakula mapindi kesho test one zinaanza
mi ndo last year, lakini mkiki naipitapita2 bila kujua,Nilisoma Electrical Engineering,siku ya kwanza kuingia darasani walimu wanalalamika "mpo wengi itabidi mpungue". Siku ya kumaliza ndo nilielewa walikua wanamaanisha nn, DIT is "survival of the fittest ".
mi ndo last year, lakini mkiki naipitapita2 bila kujua,Nilisoma Electrical Engineering,siku ya kwanza kuingia darasani walimu wanalalamika "mpo wengi itabidi mpungue". Siku ya kumaliza ndo nilielewa walikua wanamaanisha nn, DIT is "survival of the fittest ".
Nikutakie kila la kheri,maisha halisi yanaanza baada ya kumaliza.khkhkh!
mi ndo last year, lakini mkiki naipitapita2 bila kujua,
Awali ya yote nikupe hongera kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wako pia nikukaribishe DIT. Kwa matokeo uliyonayo pasipo shaka utapata nafasi ya kusoma ukianzia ngazi ya Astashahada (Cheti) baadae Stashahada (Diploma) kwa muda wa miaka 3. Kwa ngazi ya Diploma kuna course 15 zinazotolewa,kujiunga unatakiwa uwe na angalau C kwenye masomo ya Physics/Engineering Science, Mathematics na Chemistry au English. Maombi ni online yameshafunguliwa yatafungwa September 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuingia hapa DIT | Dar Es Salaam Institute Of Technology karibu sana DIT ikufungulie dunia ya uhandisi.Je mimi nimefanikiwa kupata division two mtihani wangu wa kidato cha nne.Je naweza kuja kusoma course gani kuanzia level ya diploma au haiwezekani
Samahani ndugu C katika masomo yote hayo au hata ukiwa na ya Mathematics na nyengne D?Awali ya yote nikupe hongera kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wako pia nikukaribishe DIT. Kwa matokeo uliyonayo pasipo shaka utapata nafasi ya kusoma ukianzia ngazi ya Astashahada (Cheti) baadae Stashahada (Diploma) kwa muda wa miaka 3. Kwa ngazi ya Diploma kuna course 15 zinazotolewa,kujiunga unatakiwa uwe na angalau C kwenye masomo ya Physics/Engineering Science, Mathematics na Chemistry au English. Maombi ni online yameshafunguliwa yatafungwa September 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuingia hapa DIT | Dar Es Salaam Institute Of Technology karibu sana DIT ikufungulie dunia ya uhandisi.
mkuu hakuna pre entry kwa sasa pale yaan kama hauna pass tatu kwa diploma imekula kwako katafute chuo kingine1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU