Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Miaka 6 niliyotumia hapo DIT(OD 10&BENG 14) imenifungulia dunia. Maisha ya DIT yamenifunza mambo mengi sana.
Vijana mliopo hapo komaeni DIT ni sehemu sahihi sana,ukiiva vizuri DIT maisha ya mtaani utaona rahisi DIT ni zaidi ya elimu. Proudly to be there,long live DIT.
 
mkuu ulikuwa kozi gani?, niko cbe nakula mapindi kesho test one zinaanza
 
Je mimi nimefanikiwa kupata division two mtihani wangu wa kidato cha nne.Je naweza kuja kusoma course gani kuanzia level ya diploma au haiwezekani
Awali ya yote nikupe hongera kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wako pia nikukaribishe DIT. Kwa matokeo uliyonayo pasipo shaka utapata nafasi ya kusoma ukianzia ngazi ya Astashahada (Cheti) baadae Stashahada (Diploma) kwa muda wa miaka 3. Kwa ngazi ya Diploma kuna course 15 zinazotolewa,kujiunga unatakiwa uwe na angalau C kwenye masomo ya Physics/Engineering Science, Mathematics na Chemistry au English. Maombi ni online yameshafunguliwa yatafungwa September 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuingia hapa DIT | Dar Es Salaam Institute Of Technology karibu sana DIT ikufungulie dunia ya uhandisi.
 
Attachments

Msaada nimepangiwa shule kidato cha nne kusoma HKL lakini nataka nije D.I.T je hatua gani natakiwa kupitia? Na ni course gani mzuri ambayo unaweza kujiajili .

Matokeo yangu haya hapa

Mathematics-C

Physics-D

Chemistry-D

Biology-C

Geography-C

History-C

Kiswahili-C

Civics -C

Language-C

Literature-C
 
Awali ya yote nikupe hongera kwa kufanya vizuri kwenye mtihani wako pia nikukaribishe DIT. Kwa matokeo uliyonayo pasipo shaka utapata nafasi ya kusoma ukianzia ngazi ya Astashahada (Cheti) baadae Stashahada (Diploma) kwa muda wa miaka 3. Kwa ngazi ya Diploma kuna course 15 zinazotolewa,kujiunga unatakiwa uwe na angalau C kwenye masomo ya Physics/Engineering Science, Mathematics na Chemistry au English. Maombi ni online yameshafunguliwa yatafungwa September 15,kwa maelezo zaidi unaweza kuingia hapa DIT | Dar Es Salaam Institute Of Technology karibu sana DIT ikufungulie dunia ya uhandisi.
Samahani ndugu C katika masomo yote hayo au hata ukiwa na ya Mathematics na nyengne D?
 
naskia kuna utaratibu wa graduate wa OD kutoka DIT na vyuo vingine kama chuo cha takwimu( mtanisahihisha kama niko wrong), kufanya masters moja kwa moja wakiomba vyuo vya scandnavian countries,
hiyo habari niliisikia kutoka kwa rafiki yangu ambaye anasema rafiki yake ameweza kufanya hivyo
na hii habari nilishawahi kuisikia kutoka kwa madamu wa chuo cha takwimu wakati akihojiwa sabasaba

naomba wajuzi wa mambo mnifafanulie.
 
1. Directly entry kwa Diploma in engineering, unatakiwa uwe na cretid tatu yani C na kuendelea.
2. Indirectly entry kama una D tano, utafanya pre-entry course kwa mda wa wiki 12 then mtafanya mtihani.
3. Indirectly entry for B'eng unatakiwa kufanya pre-entry course kwa mda wa mwaka moja na mitihani juu yenye ku include CA na FE
4. Directly entry for B'eng apply TCU
mkuu hakuna pre entry kwa sasa pale yaan kama hauna pass tatu kwa diploma imekula kwako katafute chuo kingine
 
Nilisoma electrical electronics Kenya. Mazoezi ya vitendo nilifanya kiwanda cha kuzalisha TV na monitor cha AKMA, NA SANYO. hapa Tanzania mnafanyia wapi fields za electronics?. Usiseme ttcl kwani ni comunication and signal.
 
hivi application za bachelor ndio basi tena kea mwaka huu
au kuna round ya tatu?
 
DIT toeni list ya loan allocation kwa wanafunzi waliopata loan kama vyuo vingine vilivyofanya hivyo.
 
Back
Top Bottom