Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Dar es Salaam Institute of Technology(DIT) - Special Thread

Jamani hapo DIT hakuna majina mapya yaliyoongezeka kwenye loan allocation? mi nilipata 1 batch ila allocation yangu haikutoka kwenye majina ya kwanza
 
kwenye list ya batch 3 jina halipo. nimeona SUA wametoa list ya allocation batch 1 addition na batch 3. Vip hapo kuna new list on advert board?
Chuo gani umepepata ,maana walisema hivo kama ikishindikana nenda ofisin kwako
 
Nina Shahada ya Elimu(Sanaa), Advance nilisoma HKL. Je, naweza kusoma Electrical ngazi ya Diploma?
 
Jaman msaada cfa za kujiunga na vyuo vya ICT {information Communication Technology} na n vyuo gan vinatowa iyo coz
IMG_20181128_110303.jpeg
 
Back
Top Bottom