Dar es Salaam is the busiest air route for Kenyan airlines

KQ makes loses year in year out hahahaha. Huu Uzi ni kuhusu jinsi gani KQ inavyotegemea "Dar route", huko kwengine kote mlikoyaja hampati faida, mnnakwenda kuuza sura tu.
Mwiba mchungu sana kwa ndg zetu ila ndo ukweli KQ ndio shirika la ndege linaloongoza kuwa na abiria wengi zaidi JNIA ila ni kwa sababu ya favor ya ATCL kutokwenda Jomo Kenyatta basiii. Hapa ni krb ni kama daladala Makumbusho-Posta.
 
KQ wateja wengi hulalamika kupoteza mizigo yao, kuibiwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hivyo ATCL wakianzisha ruti wajiandae tu, nani ataacha kupanda kitu kipya Airbus apande ndege chakavu.
 
Ulikuwa umetokomea wapi? Umeibuka all of a sudden. Welcome back
 
Kwa kuandika uko sawa sana lakini hayatakuja kufanyika ulivyotabiri. Umewahi fikiria kuwa mwandishi?
 
Mwiba mchungu sana kwa ndg zetu ila ndo ukweli KQ ndio shirika la ndege linaloongoza kuwa na abiria wengi zaidi JNIA ila ni kwa sababu ya favor ya ATCL kutokwenda Jomo Kenyatta basiii. Hapa ni krb ni kama daladala Makumbusho-Posta.
Na kamwe hamtapata hio leseni ya kuja Nairobi. Tutawazungusha hadi mkae chini.
 
Na hizi mpya zilizpagizwa tumetaka ziwekwe screens na WIFI kama, nani atapanda "vyuma chakavu vya KQ?".

Wakenya piteni huku muone jinsi mnavyotutegemea.

cc. Tony254
Kwa sababu unapenda sana maajabu yanayotokea Kenya, pale youtube umeona ile video ya Mkenya anayekula mende? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Na kamwe hamtapata hio leseni ya kuja Nairobi. Tutawazungusha hadi mkae chini.
Hahahah mikataba ya aviation inataka hivyo ukija kwangu na mimi ntakuja kwako pia ilikuwa ngumu wkt ule hatukuwa na ndege za uhakika.Waacheni Wakenya wapande vitu classic msiwacheleweshe jamani.
 
Subirini tuwaletee wakenya Airbus A220 wenyewe mtakimbia hiyo mikweche yenu kitu kipyaaaa brand new delivered straight from the factory!
Why fly an aircraft with a range of 7000km to a distance of 900km? Labda iende dubai na india
 
Na nahisi moja ya hizi Airbus A220s mpya zilizoagizwa itakuwa ya Nairobi. Lazima wataomba pooh na hiyo mikweche yao sijui Embraer!
Fuel efficiency na passenger comfort ya A220 is UNMATCHED!
Hio Embraer ndio mkweche wanaoletea watalii Zanzibar kila asubuhi. Tusiwalaumu, shirika lishakufa tena, hawawezi kununua ndege mpya wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…