Mkuu ulichoandika ni kweli kbs,KQ katika masoko yake muhimu na tegemezi ktk kusurvive kwake Tanzania imo,wana route nne kila siku hapa na almost zote ziko full.Tukiamua kugawana nao hawa abiria watadata interesting part ni kwamba ATCL iko na advantage nyingi sana ya kuigalagaza KQ......nyingi tu.
-Kuwa na ndege mpya za kisasa (nani atataka apande mfupa wkt kuna kitu pamba kinaenda pande hiyo hiyo 😂.obvious)
-KQ ina hali mbaya ya kipesa wkt ATCL ndo kwanza inashamiri,tunaweza kushusha bei kdg chini ya KQ kwa jinsi ilivyodhoofika haiezi fuata huko chini,Tunatembea tu na margin ka marathon flani lazima wasande pumzi ya kushindana na ATCL, KQ haina huo ndo ukweli.