Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

Dar es salaam kuna watu walitamba ila walikuwa wa kawaida sana

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao.

Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza. Mimi namkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake, ilikuwa maeneo ya kuanzia Urafiki, Manzese, Kagera, Tandale na Mabibo.

Mwingine alikuwa bingwa wa kuandika ukutani sijui muda alikuwa anatoa wapi 😄.
Huyu sehemu za ukuta anaandika jina lake "Rama kapita" kwa wale mliokuwa mnaishi Mabibo sio wageni.

Kuna mwingine alikuwa maarufu za kwa kutuma salamu redioni anaanza "Niambrieeeeeeeeeeee" .
Mwingine Chesko mzee wa matunda kipindi hicho Clouds ipo moto.
 
Miaka ya 2004 kushuka chini kulikuwa na watu wa kawaida sana waliotamba kwa umaarufu pamoja na majina yao.

Nakumbuka wachache ila mtaweza kuongeza.
Mimi na mkumbuka Baba Rama mwenye mikokoteni iliyokuwa na jina lake.
Ili kuwa maeneo ya kuanzia urafiki,manzese,kagera,tandale na mabibo.

Mwengine alikuwa bingwa wa kuandika ukutani sijui mda alikuwa anatoa wapi 😄.
Huyu sehemu za ukuta anaandika jina lake "Rama kapita" kwa wale mliokuwa mnaishi mabibo sio wageni.

Kuna mwengine alikuwa maarufu za kwa kutuma salamu redioni anaanza "Niambrieeeeeeeeeeee" .
Mwengine chesko mzee wa matunda kipindi hicho clouds hipo moto.
Noma sana eti rama kapita, huyo muda alikuwa anapata wapi 🤣
 
Walikuwa wanapata ustaa kiboya sana, hata huyo domo kaya la Tandale kama ndiyo angekuwa anatafuta kutoka kwa kipindi hiki, angeambulia kula tu upepo kama siyo tothpc mchemsho.
 
Muhiri obareee..mzeee wa naaaaaaaaaaaaaammmmmmmmmm redio free afrika.

Kuna mmoja alikua mtuma salamu maarufu IGOMA KWA WATU WAZITO simkumbuki jinaaa.

Kuna jamaa hapo mwanza alikua anaitwa CLINTON...Yule jamaa ni mzee wa MIONDOKO YA MADAHA NA KUNESA NESA/ MITEMBEO YAKE ILIKUA YA KUVUTIA SANAAAAAA MACHONI PA WATU
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Ostadh juma na musoma
Hemed mpakanjia RIP
Amina chifupa RIP
Wema sepetu
Aunt ezekiel
Ray kigosi
POPO BAWA
 
Ostadh juma na musoma
Hemed mpakanjia RIP
Amina chifupa RIP
Wema sepetu
Aunt ezekiel
Ray kigosi
POPO BAWA

aargh nyie wanawake mnajuana wenyewe. Hao sisi wanaume tutawafahamia wapi. Tuambie akina James Mapalala, akina Fundikira nk
 
Hapo labda chesco ndio alibamba dar, hao wengine labda huko mtaani kwenu
 
Shehe Yahaya,Mohamed Tambalizeni,Juma Nyamihela,Intelectuals kwa wale wa UDSM,Sinta,Abiola,Mudy Muzungu
 
Back
Top Bottom