Dar es salaam limegeuka jiji la makelele, Serikali imelala?

Ni kweli mkuu ... Subconscious mind ya mtu haiwezi kuwa na nguvu nje ya utulivu.

Kwa kweli kwa afya ya akili ni muhimu hili swala likaangaliwa mara mbili
Kama yale maspika yanayotangaza uuzwaji wa viwanja imepelekea hadi wanafunzi wamemkariri Boss kwezi kuliko chief Mkwawa
 
Bodaboda wanafunga honi za Harrier Lexus, yaani ni shida

Pia boda zimekua nyingi sana dar, hivi baada ya 5years hali itakuaje kwa wingi wao
Itakuwa kama Mumbai
 
Kuishi dar mpaka uwe Huna afya ya akili
 
Serikali ipo likizo😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…