Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Aombe uhamisho.Ameajiriwa Dar es Salaam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aombe uhamisho.Ameajiriwa Dar es Salaam
Kwani wezi sio watu kama wewe? Uwezo wako wa kufikiri upo low sanaHama mji, au tafuta sehemu tulivu. Hao wanaopiga makelele si watu kama wewe?
Kupe muda nako kutajaa fremu za maduka na barWenzako wenye hela wamesogea Mbweni.
Hata iliyokuwa mitaa ya kishua Dar zama hizo, watoto wanaweza cheza mpira barabarani siku hizi dała dała zinakatiza.
Ukitaka amani sogea nje, akina sisi tusio na uwezo wa kununua Mbweni, utaratibu ni Kibaha.
Ameomba lakini hajapata.Aombe uhamisho.
Zile nyumba ni zina sound proof ukiingia ndani husikii makelele ya nje kumbe hujawahi kuingia kwenye baadhi ya zile nyumba za kariakoo ndio wanaoishi zile nyumba kelele za nje hawazisikii kabisa ila ukitoka nje ndio unasikiaSasa kama hizo kelele zitakuwa hivyo hivyo kama ilivyo mchana hao wanaoishi K.koo wataweza kulala na kupata usingizi ??!
Hatari sana !
Kuna mmoja mtaani kwetu kazi yale kupiga swalaa lakini chuma ulete hatari sana.Mkuu hujakaa karibu na ile misikiti ya "swalaa, swalaa, kitanda chako ndiyo kaburi, shuka ndiyo sanda yako, swalaa swalaaa" wanakupigia makelele saa nzima sala ya alfajiri, bila kujali una imani gani?
Maombi hayatambuliki kwa wote katika secular state. Maombi yenu ombeni kanisani kwenu msiwapigie kelele wengine wasioamini kama nyie.
Siyo kimya kimya, bali kwa sauti ya kawaida tu. Sasa mtu anaswali kwa kelele kana kwamba Mungu hamsikii.Unawwezaje kusali kimya kimya??
Zuieni Kwanza kelele zote, ndio mje mguse sehem za ibada
Basi awe mvumilivu huku akiendelea kupambana na uhamisho.Ameomba lakini hajapata.
Yale ma canter na wakata viuno ni hatari, wakipita mahali kama unaongea na simu au watu lazima kusitisha kwanza, maana ni makelele ya kuumiza masikio. Wakipiga kambi mahali hapakaliki3. Serikali ithibiti haya matangazo ya magari ambayo huzunguuka mitaani huku wamefungulia muzik kwa staili ya Disco.
Hao bodaboda hata wakipigiwa honi hawasikii kwa ule ulimbukeni wa kelele za singeli2. Serikali ipige marufuku kwa bodaboda kufunga speaker kwenye mabodaboda yao, kwanza haya mamiziki wanayofungulia ni hatari kwa usalama barabarani.
Ni kweli na uzi ni kusaidia usalama wa bodaboda pia.Yale ma canter na wakata viuno ni hatari, wakipita mahali kama unaongea na simu au watu lazima kusitisha kwanza, maana ni makelele ya kuumiza masikio. Wakipiga kambi mahali hapakaliki
Hao bodaboda hata wakipigiwa honi hawasikii kwa ule ulimbukeni wa kelele za singeli
Mkuu London ni Jiji la biashara pia lakini halizalishi kelele kama Dar !!.Ushaambiwa jiji la biashara then unalalamika kelele.
Hamia Mtwara/Lindi ambako kumetulia.
Dar ina wakazi 6M, wewe lonely ndo hupendi kelele.
Kama ni hivyo basi kaa nae mbali jirani.Huyo chogo anatamani kweli kunijua ila mimi na watu wanaoshinda bar kutega mabaharia na kutumia free WiFi kushinda JF wapi na wapi?? 🤣🤣🤣
Nilimwambia Mpaji Mungu amsajili awe anatuuzia juisi hata ya miwa kuliko kushinda humu kusumbua wanaume wenzie pm 😹
Hivi uduvi ni nini?Huyo chogo anatamani kweli kunijua ila mimi na watu wanaoshinda bar kutega mabaharia na kutumia free WiFi kushinda JF wapi na wapi?? 🤣🤣🤣
Nilimwambia Mpaji Mungu amsajili awe anatuuzia juisi hata ya miwa kuliko kushinda humu kusumbua wanaume wenzie pm 😹
Kwakweli ndio maana wengine tunaona hii Demokrasia ni majanga tu !Hahaaa. Ndiyo ubaya wa demokrasia huo mkuu. Ukitaka kuwagusa machinga unaogopa sababu watakunyima kura. Ukitaka kusema msijenge hapa, bodaboda ziwe na utaratibu huu, bajaji ziwe hivi nk nk huwezi sababu ya kuogopa kunyimwa kura. Ndiyo maana miji ya India haieleweki hata kidogo. Miji yetu nayo inafuata huko.
Kisha watakuwa ni wapigaji kura wetu !Kupe muda nako kutajaa fremu za maduka na bar
Lakini bado zipo nyumba nyingi sana za kizamani ambazo hazina na hakuna namna yeyote ya kutengeneza hiyo sound proof !Zile nyumba ni zina sound proof ukiingia ndani husikii makelele ya nje kumbe hujawahi kuingia kwenye baadhi ya zile nyumba za kariakoo ndio wanaoishi zile nyumba kelele za nje hawazisikii kabisa ila ukitoka nje ndio unasikia
Bro wanaovitumia hawanazo wala wa mamlaka za local authority. kaka ukisogea kwenye vikelele huwezi kujua wanasema nini yaani ni kama mkusanyiko wa wadudu.Dar ni Jiji la biashara kuliko majiji kama Dubai na Tokyo?
Mbona huko hakuna hivyo vispika na makelele?
Kuna mdau huko juu amesema hali hiyo ya makelele na kupenda makelele ni dalili ya ujima na umasikini,nakubaliana nae kwa asilimia mia moja.