KERO Dar es Salaam: Magohe mpaka Mbezi Magufuli barabara ni mbovu na haipitiki kwa urahisi

KERO Dar es Salaam: Magohe mpaka Mbezi Magufuli barabara ni mbovu na haipitiki kwa urahisi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Magohe1.jpg

Magohe.jpg
Hivi kwa nini barabara ya Mpiji Magohe mpaka Mbezi hawajazi kifusi kama barabara ya lami imewashinda? Yaani Barabara imechimbika balaa hata kwa kupita hamna, wahusika tunaomba walione hilo, miezi mwili iliyopita walisawawazisha baada ya siku 3 mashimo yakarudi kwa nini wasiweke kifusi tumechoka sana jamani🙏🙏.

Yaani hata ukipanda Gari unalionea huruma mashimo yalivyo. Hizi picha ni baadhi kuna sehemu niliona nimechoka nikaona nisimame.
 
Back
Top Bottom