Dar Es Salaam makao makuu ya raha

Dar Es Salaam makao makuu ya raha

Freddy.Freddy

Senior Member
Joined
May 29, 2015
Posts
105
Reaction score
44
Mimi Mkenya ila nimeishi huku Dar kwa miezi saba na nakwambia hamna sehemu East Africa yenye raha kama Dar Es Salaam. Nimeshindwa kurudi Nairobi kwa kweli.......Dar kando na the few issues like foleni na uchafu, am liking and liking the place as days go by.

Hamna watu waafrika wamewafikia nyinyi wabongo kula bata aiseh. Nawaheshimu sana kwa raha zenu. Nafaa kurudi Nairobi mwishoni mwa Desemba lakini sioni nikienda kabisa kwa sababu raha nayopata humu nina uhakika siwezi kupata sehemu nyingine.

Baikoko Dance acha tu bana!!
 
Daah Kiswahili umejifunzia wapi?
Mbona hizi Baikoko dance zipo hata Mombasa.
 
Shika adabu yako,umbali wa tanga mombasa kwa nauli ni tsh 15000tsh inaeza kuimagine distance yake na wala sio pua na mdomo kama mnavyopeana kamba vijiweni kwenu
 
Ngoja MK254 akukute hapa.. Utamkoma

Hehehe!! nafikiri wengi huwa hamnielewi kabisa, binafsi kila nikija Dar huwa nakula bata full. Huo mji kwa raha zake kweli upo freshi, nenda sehemu kadhaa za burudani uwaulize, wengi walinifahamu kama rais wa Nairobi. japo hizo raha bila kuwa makini Wakenya wengi huwa tunaharibu pesa sana huko na kushindwa kujiendeleza, binafsi kuna kipindi niliachia milioni tatu kwa siku nne zikaniuma.
 
teh teh teh teh karibu tena jiji la maraha mkuu...

Vipi uko Safari yako ya Kigoma ni lini??
 
Ha haa! Ukuje uende kwenu. Ndugu zako wakusubiri. Achana na mabinti wa Kibongo. Wanaweza kukufanya usahau rudi kwenu...
 
Bongo kuna bata hadi za sh 1000 wewe tuu wataka nini
 
Hehehe!! nafikiri wengi huwa hamnielewi kabisa, binafsi kila nikija Dar huwa nakula bata full. Huo mji kwa raha zake kweli upo freshi, nenda sehemu kadhaa za burudani uwaulize, wengi walinifahamu kama rais wa Nairobi. japo hizo raha bila kuwa makini Wakenya wengi huwa tunaharibu pesa sana huko na kushindwa kujiendeleza, binafsi kuna kipindi niliachia milioni tatu kwa siku nne zikaniuma.
Mkuu umetisha!
 
Nashangaa mtu anahama Dar kwenda mikoani kufanya kazi.
 
Dsm hovyo tu, mkoa gani joto kali mtu nyomi balaa. Kila mahali kumejaa. Wengine hupenda maeneo kimya, good weather.
 
Huna hela wewe...ukiwa na hela joto halikuhusu....home AC,kwenye gari AC,ofisini AC, batani AC wewe tu!
 
Back
Top Bottom