Freddy.Freddy
Senior Member
- May 29, 2015
- 105
- 44
Mimi Mkenya ila nimeishi huku Dar kwa miezi saba na nakwambia hamna sehemu East Africa yenye raha kama Dar Es Salaam. Nimeshindwa kurudi Nairobi kwa kweli.......Dar kando na the few issues like foleni na uchafu, am liking and liking the place as days go by.
Hamna watu waafrika wamewafikia nyinyi wabongo kula bata aiseh. Nawaheshimu sana kwa raha zenu. Nafaa kurudi Nairobi mwishoni mwa Desemba lakini sioni nikienda kabisa kwa sababu raha nayopata humu nina uhakika siwezi kupata sehemu nyingine.
Baikoko Dance acha tu bana!!