Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Aidha, Dkt. James Jess alikuwa miongoni mwa watia nia katika Jimbo la Segerea kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
= Taarifa zaidi kufuatia =
Pia soma
> Dkt. James Jesse (Mhadhiri UDSM): Siku hizi unakamatwa bila kibali na huwezi kupinga