REV KISOLO
JF-Expert Member
- Jul 13, 2014
- 235
- 145
Kuna mwanaccm mwenye UTU?Narudia wewe ni mjinga, mpumbavu, mshenzi na pia una vimelea vya ugaidi na ushetani...huna utu wewe..una elements za unyama au mnyama kwa hakika asiyejua mema na mabaya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwanaccm mwenye UTU?Narudia wewe ni mjinga, mpumbavu, mshenzi na pia una vimelea vya ugaidi na ushetani...huna utu wewe..una elements za unyama au mnyama kwa hakika asiyejua mema na mabaya...
Ndiyo kazi za wanaccm popote walipo!Utekaji
Uuaji
Kusingizia watu kesi
Kunyang'anya pesa wafanyabiashara n.k
Hapo ni motoni tu.
Anamchango upi? Maana wanaccm ndiyo vinara wa kuminya haki za binadamu!Ana mchango mkubwa Sana katika upiganaji wa haki za binadamu Tanzania licha ya huo uccm wake....he was a great man
Mbona magufuli be anaichukia CHADEMA?Siyo kweli bwana kwamba kuichukia ccm ni ugaidi....rejea Simba na Yanga
Wewe Una mapepo sio bure, sio wewe bali ni mipepo inakusumbua ndani yako, ndio maana umeandika hiviRIP James
Ahsante kwa hilo, vipi waweza nambia kosa langu.Wewe Una mapepo sio bure, sio wewe bali ni mipepo inakusumbua ndani yako, ndio maana umeandika hivi
Pole sana kwa familia. Inasikitisha sana. Huyu alikuwa mpambanaji. Na hata huko kutia Mia lengo lilikuwa kuwatafutia watoto wake mkate na Siagi. Mungu awape faraja familia yake.
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Aidha, Dkt. James Jess alikuwa miongoni mwa watia nia katika Jimbo la Segerea kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
= Taarifa zaidi kufuatia =Pia soma
peponi ni kwa ajili ya wale waalioandaliwa, wengine ni jehenam.Hivi ukifa hali mwanachama wa CCM utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
huyo mtu alifariki mwaka gani, Angalia vizuriAhsante kwa hilo, vipi waweza nambia kosa langu.
Ili nisirudie tena.
Povu la nini kwani wewe ni CCM?Wewe siyo mjinga tu bali ni mpumbavu na mshenzi pamoja, una vimelea vya ugaidi na ushetani kwa ujumla wake.
Hivi ukifa hali mwanachama wa CCM utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
Bahati mbaya sana ukifa na hali yakua ni CCM inakua ngumu mno kwenda peponi.
Mungu amsamehe huyu.
Kuna kijani Mwema?Huko hakuna mambo ya vyama, ni malipo ya mema au mabaya.