Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huko hakuna mambo ya vyama, ni malipo ya mema au mabaya.Hivi ukifa hali mwanachama wa Ccm utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
Wewe siyo mjinga tu bali ni mpumbavu na mshenzi pamoja, una vimelea vya ugaidi na ushetani kwa ujumla wake.Hivi ukifa hali mwanachama wa Ccm utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
Lakini kazi ya Mola haina makosaWewe siyo mjinga tu Bali ni mpumbavu na mshenzi pamoja...una vimelea vya ugaidi na ushetani kwa ujumla wake
SidhaniHivi ukifa hali mwanachama wa Ccm utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
Hivi ukifa hali mwanachama wa Ccm utaenda peponii?
RIP mimi nimekusamehe
RipView attachment 1603369
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Aidha, Dkt. James Jess alikuwa miongoni mwa watia nia katika Jimbo la Segerea kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
= Taarifa zaidi kufuatia =
Kwani wewe ndiyo unawapeleka wafu peponi? Ass comment ever!Bahati mbaya sana ukifa na hali yakua ni CCM inakua ngumu mno kwenda peponi.
Mungu amsamehe huyu.
Covid 19 bado ipo, chukua tahadhaliView attachment 1603369