TANZIA Dar es Salaam: Mhadhiri wa Law school wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Dkt. James Jess afariki dunia

Alikua miongoni mwa watia nia is misleading. Watia nia walikua utitiri. Sio kama zamani wanatia watatu wawili.
My first impression nilikua najua ni mgombea Ubunge.
 
Nakuunga mkono, hawa ccm wanashirikiana na genge TISS linalotesa sana watu.

...Mfano, uko singida wamemsimamisha Ramadhan Inghondu wa TISS suspect namba1 ktk waloshiriki kutaka kumuua Dr Ulimboka, nadhan mnalijua hilo.

Sasa kushirikiana na hili genge la ccm kweli Mungu inabidi akulaze pahala panapokustahili.
Bahati mbaya sana ukifa na hali yakua ni CCM inakua ngumu mno kwenda peponi.
Mungu amsamehe huyu.
 
Mungu amlaze pema mwalimu wangu hodari wa haki za binadamu.....alama alioacha katika tasnia ya Sheria ni kubwa sana
 
Aisee Rest in peace Human Rights Fighter...
Tuta baki na memories za compendium ya Human Right regional na international laws.
 
RIP James Jess Dr. Poleni walioguswa na msiba huu.
 
RIP Doctor. You will be remembered for what you have said recently.
 
amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata.

Aidha, Dkt. James Jess alikuwa miongoni mwa watia nia katika Jimbo la Segerea kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

View attachment 1603376
"Ukikamatwa bila SHERIA na ukihoji husikilizwi"

Maneno hayo aliyatamka LINI?

Isijekuwa ndiyo sababu ya KIFO CHA GHAFLA.

R.I.P DR.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…