KERO Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani

KERO Dar es Salaam: Mtaa wa Darajani - Mikocheni A, maji ya kinyesi yanasambaa tu mtaani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest

Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu.

Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba tusaidiwe tupate msaada hapo.
photo_2026-05-10_17-25-21.jpg

photo_2026-05-08_15-18-00.jpg
photo_2026-05-08_15-18-01.jpg

Pia soma
~
Rais Samia: Dar es Salaam ni kuchafu, ni aibu
~ DC Mpogolo: Atakaye tupa taka Ganda la Ndizi na Pipi faini Milioni 1, Dar
 
Mikocheni najuaga ushuani sana.
Kuna mikocheni niliwh kufika nikaona huku bora kwetu mbagala tu, ile inayokamatana na msasani. Na kuna sehem mikocheni kuna mfereji mkubwa wa maji sijui yanatoka wapi yale. Ila kuna hadi nyumba za maturubai
 
Back
Top Bottom