Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu.
Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba tusaidiwe tupate msaada hapo.
Kuna mikocheni niliwh kufika nikaona huku bora kwetu mbagala tu, ile inayokamatana na msasani. Na kuna sehem mikocheni kuna mfereji mkubwa wa maji sijui yanatoka wapi yale. Ila kuna hadi nyumba za maturubai