Dar es Salaam ndio jiji linaloongoza kuwa na masikini wengi

Dar es Salaam ndio jiji linaloongoza kuwa na masikini wengi

upo sahihi, na ndo tofauti ya Dodoma na Dar, Dar kuna masikini wengi, japo matajiri wengi pia, Dar inanuka kabisa kama choo au jalala, dar ni joto na msongamano,
 
Ni jiji linalokua haraka kuliko uwezo wake wa kuhudumia wakazi wake wote.
 
Dar ni jiji ambalo linamchanganyiko wa kila kitu.masikini wapo wengi na matajiri pia wapo wengi kuliko mkoa wowote.
 
Masikini wengi huja Dar es Salaam kwa ajili ya kutafuta Unafuu wa Maisha.

Vilevile ni Jiji lenye watu wengi kuliko yote Nchini, hivyo lazima uwaone wengi.

Be a Man, Yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
 
Back
Top Bottom