Dar es Salaam ni jiji ambalo watu wanarogana sana

Dar es Salaam ni jiji ambalo watu wanarogana sana

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either
☆kuroga ili wapate kazi fulani
☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie
☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi.
☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo.
☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike.
☆ Kumroga baba mwenye nyumba asahau tarehe yakudai kodi yake.
☆Kuroga danga likununulie gari nyie wadada na kulipiwa kodi

Kila njia panda jijini dsm utakutana na vyungu vimepasukapasuka na masizi meusi kati ya njiapanda kumi lazima 6 kati ya hizo utakuta vitu hivyo.

Hitimisho,Hili jiji la dsm lisikie tu bila ushirikina watu wanasema hutoboi
 
Back
Top Bottom