Dar es Salaam ni mji uliojaa wazururaji

Dar es Salaam ni mji uliojaa wazururaji

Vijana wote Tanzania mzima akili zao ni kuja Dar lazima kuwe na wazurulaji wengi
Magufuli alijaribu kuanzisha mji wa Dodoma Ili kuipunguzia mzigo Dar lakini wengi hawakuelewa lengo lake na Sasa hata waliokuwa wamehamia Dodoma wameanza kurudi tena Dar
 
Hata sisi Vibaka tulibaki home maana Watoa rizki hampo mtaani,tunategemeana, you know.
 
Back
Top Bottom