Vijana wote Tanzania mzima akili zao ni kuja Dar lazima kuwe na wazurulaji wengi
Magufuli alijaribu kuanzisha mji wa Dodoma Ili kuipunguzia mzigo Dar lakini wengi hawakuelewa lengo lake na Sasa hata waliokuwa wamehamia Dodoma wameanza kurudi tena Dar