Dar es Salaam ni mkoa uliojaa masikini wengi wanaojificha kwenye kivuli cha miundombinu tu

Na wengi wao ni mashabiki wa Yanga au kama wanavyojiita wenyewe, wala mihogo mibichi mjini huku wakiamini kuwa Haji Manara ndyo Mungu wao.
 
Kama Dar imejaa maskini wengi kama unavyosema sipati picha hiyo mikoa mengine itakuaje [emoji2305]
 
"Mtu akifa bila kufika dar lazima ajilaumu" Nimejiuliza atajilaumuje ikiwa ashakufa ..?
 
Mada ilikua nzuri tu kabla mchizi mmoja hajaitaja miguu ya kuku.
 
Dar ndio inaogoza kwa kipato kuliko mikoa yote sasa huo umasikini wa kuzidi mikoa mengine unatoka wapi..sema wewe umezoea kulima kwa dar utapata shida sana rudi tu kwenu
 
Dar ndio inaogoza kwa kipato kuliko mikoa yote sasa huo umasikini wa kuzidi mikoa mengine unatoka wapi..sema wewe umezoea kulima kwa dar utapata shida sana rudi tu kwenu
Usidangavywe na data! Kwa sababu Dar matajiri wakubwa wengi wanafanyabiashara wakubwa!

Mfano pale Kariakoo wafanya bisahara kipato chao kinagawanywa kwa idadi ya watu wote Dar!

Hata hao vilaza wanaokaa maeneo duni unawaona wanapata wastani wa milion 5 lakini hali halisi wengi wanaishi maisha duni sana na wachache ndo wanashikilia uchumi!
 
Kaka siku ukienda kanda ya ziwa huko geita na kahama hutarudia tena kuongelea ujinga wa milon 80!
Watu wanafanya mining wanapata mamilioni wewe unazungumzia million 80!
Unadhani sijui ? kuna jamaa zanu wengi huko mzee lakini kwenye mining wanaopata hela ni wenye capital kubwa alafu gues what hiyo hela wakiipata investmet kubwa wanakuja kuzifanya Dar. Wazee mbona DAR mnaipinga sana kwani tatizo liko wapi ? Niliwah kufanya kazi Mantrac nilikuwa naenda sana migodini. So mazingira nayajua mkuu…
 
Masikini WA dsm lakin ...

Ana smartphone..

Ana Bando muda wote ...

Nyumbani ana tv ,king'amuzu ,n.k ...

Yuko smart kichwani,anajua vitu vingi kutokana na muingiliano WA watu ,kazin njian ,Mambo mengine anajifunza ya ndani na nje ya nchi ....



Masikini WA mkoan ..

Ushamba mwingi ,anasimu ya tochi ,hajui hata kinachoendelea Duniani mpaka akasome gazet ..

Hana exposer na vitu vingi vya kidunia ,mkibishana unamuona kabisa mweupe kichwani ,mfano kamuulize kuhusu VPN MTU wa mkoan uone kama anajua kitu ....

Kutwa shambani ,Tena jembe la mkono ,anarudi jion anaenda sokoni kucheza bao ,then anarudi kulala kukicha kesho shambani Tena ...

Kupata Laki 3 mpaka mwisho WA mavuno akiuza mazao ....
 
Acha uongo wachimbaji wengi hawaji kuwekeza Dar wanawekeza Mwanza! Kaka usidanganye watu sio dar peke ake ndo kuna maisha! Wewe tafuta trip uje Kahama au Mwanza ndo utaniambia!
Hata nyumba zinazojengwa mitaani Mwanza na mikoa mingine mikubwa kama Arusha ,Dodoma zinatoa majibu kabisa jinsi gani watu wanafedha na maokoto ya kutosha!
Nyumba unaziziona Goba ,Kinyerezi na maeneo mengine Dar utazikuta Buhongwa,Nyasaka na Bwiru hapo Mwanza!
Sasa unaweza kubeza mkoani ila kwa hali halisi hata mikoani kama unapambana napo utapata fedha na maokoto ya kutosha!
Ukienda kwa watu wanaouza ,Bajaji,Magari kwa hapa Dar wateja wao wakuu ni watu wa mikoani sasa wewe unapojustify kuwa mikoani hakuna maisha huo ni uongo wa hali ya juu!
 
"Mtu akifa bila kufika dar lazima ajilaumu" Nimejiuliza atajilaumuje ikiwa ashakufa ..?
Siku ukifa ndio utajua maana HUU MWILI NI KASHA mf. Karanga Huwa ipo ndani ya KASHA ni sawa na huu mwili na nafasi/Roho...

Mkuu,
Mtanzania yeyote huko mikoani wanatamani kuja dar es salaam TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ hii haiitaji kupigiwa kura...
 
Dar ata ukiuza utombo wa kuku unatoka kimaisha ,mikoani kilimo ndio kila kitu.
 
Anzisha thred Instagram uliza ungependa kufanya kazi mkoa gani hapa Tanzania utakuja kunipa majibu hapa!
 
Dar kutoka kimaisha rahisi sana ila ukiwa mpangaji duuuh wewe stress muda wote hukosi
 
Huu ni ule ukweli mchungu jpo ningependa kujua wewe uliyetajirika mkoani uliwezaje
 
Anzisha thred Instagram uliza ungependa kufanya kazi mkoa gani hapa Tanzania utakuja kunipa majibu hapa!
Mkuu Kwa umri wangu Kwa Sasa nipo Jf nimeshaacha mambo ya Facebook na Instagram account kutokana na ubusy wangu wa hapa na pale......

So napenda wewe mwenyewe unipe majibu hapa hapa jukwaani 😊😊😊
 
Ndiko tunakoelekea.Kwenye masuala ya usalama wa chakula huko Kwa Wenzetu wako very strict ila bongo ni Bora liende.

Pamoja na hivyo watu Bado hawana akili huko Dar kwenu.
Mkuu,
Kwann una genelize kua watu wa dar hatuna akili??
😊😊😊😊

NB:
Dar es salaam TANZANIA ni peponi na jehanamu Kwa baadhi ya WATU Mimi naona dar es salaam TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni rahisi sana kutoboa kuliko huko mikoani kwenu.......

Unashangaa mtu anawajua watu wote hapo wilayani ushamba ni mwingi sana mixer kijicho na kupigana ndumba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…