Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Habari zenu wana JF wenzangu.

Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.

Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi nje ya mipaka ya nchi yetu achilia mbali maeneo na mikoa mbali mbali ya Tanzania.

Mwaka 2003 wakati nipo ndani ya basi kutoka Lusaka kuelekea Harare nilikutana na mzambia fulani ambae tuliongea mengi kati ya tulioongea nilishangaa kuona jamaa aliifahamu hadi macheni Baa na alisema kwamba siku atakayofanikiwa kukanyaga Tanzania atajitahidi kufika katika Bar hiyo ili kujionea mwenyewe kwa macho yake yale yote aliyokuwa anahadithiwa na wazambia wenzake waliobahatika kukanyaga Dar na kwenda kula bata katika Bar hiyo.

Lakini pia nishakutana na watu kutoka katika nchi zingine za Congo, Burundi, Namibia na Kenya wakiizungumzia Bar hiyo kwa jinsi ilivyokuwa na mvuto kwa watu mbali mbali kutoka mataifa mbali mbali.

Sasa toka Bar hiyo ya macheni ilipoanguka sijawahi kusikia Bar zingine zenye sifa kubwa kama hiyo.

Je wewe ushawahi kuisikia nyingine yenye sifa zinazofanana na zile zile za kwa macheni? Kama ipo ni ipi? Najua kuna Bar na maeneo mengi yenye sifa na mvuto wa kiwango fulani ila sio kufikia viwango vya Bar ya Macheni.

Nyinyi au wewe unaonaje?

Karibuni tujadili.
 
Hahahaaa wacha hizo Kill time bar pale sinza Lego ndio ilifunika amazing acha kabisa
 
Mkuu nakubaliana na wewe kwamba Kill ilikimbiza kiaina fulan. Ila kwa Macheni ndio ilikuwa mwisho wa kila kitu.
I mean kwa hadhi na umaarufu Macheni haijawahi kuwa na mpinzani hata wa kuisogelea kilometer kadhaa.

Haijawahi tokea nyingine ya aina ile. Nakataa mkuu. Hii Kill kuna watu hapo hapo Dar hawaijui na wala hawajawahi kusikia. Ila Macheni imevuma hadi nje ya mipaka ya Tanzania mkuu.
 
Back
Top Bottom