Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Nilipataga ajali yangu ya gari ya kwanza hapo mwaka 2000, halafu gari lilikuwa la bosi wangu niliazima nkauzie sura mara buuh nimegonga gari ya watu kwa nyuma ilikuwa imepark..jamaa walitumia advantage ya udogo wangu walinikunja kinoma kabla ya wahuni wa pale kuingilia na kunichomoa kwa sababu nilikuwa najulikana kidogo kwakuwa na mimi AKA yangu ilikuwa macheni pia😂
 
Habari zenu wana JF wenzangu.

Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.

Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi nje ya mipaka ya nchi yetu achilia mbali maeneo na mikoa mbali mbali ya Tanzania.

Mwaka 2003 wakati nipo ndani ya basi kutoka Lusaka kuelekea Harare nilikutana na mzambia fulani ambae tuliongea mengi kati ya tulioongea nilishangaa kuona jamaa aliifahamu hadi macheni Baa na alisema kwamba siku atakayofanikiwa kukanyaga Tanzania atajitahidi kufika katika Bar hiyo ili kujionea mwenyewe kwa macho yake yale yote aliyokuwa anahadithiwa na wazambia wenzake waliobahatika kukanyaga Dar na kwenda kula bata katika Bar hiyo.

Lakini pia nishakutana na watu kutoka katika nchi zingine za Congo, Burundi, Namibia na Kenya wakiizungumzia Bar hiyo kwa jinsi ilivyokuwa na mvuto kwa watu mbali mbali kutoka mataifa mbali mbali.

Sasa toka Bar hiyo ya macheni ilipoanguka sijawahi kusikia Bar zingine zenye sifa kubwa kama hiyo.

Je wewe ushawahi kuisikia nyingine yenye sifa zinazofanana na zile zile za kwa macheni? Kama ipo ni ipi? Najua kuna Bar na maeneo mengi yenye sifa na mvuto wa kiwango fulani ila sio kufikia viwango vya Bar ya Macheni.

Nyinyi au wewe unaonaje?

Karibuni tujadili.
Na Dar es Salaam nzima hakuna Baa iliyoua Watu ( Wateja ) wake kwa Kupata / Kuambukiza UKIMWI ( Dally Kimoko Guitar ) kama hii Unayoisifia Kipopoma ( Kijuha ) hapa kama ya Kwa Macheni Magomeni / Migo Migo.
 
Kulikuwa na kitu gani kilochofanya iwe na mvuto kupita bar nyingine
Nyapu za kumwaga, huduma za chap chap, mambo ya bolingo kina papaa buengee enzi hizo unawakuta hapo.

Wale wazee wa kuhemewa na kuhemea wenzao mgongoni nao hawakuwa nyuma. Nyama choma mpaka mishkaki ya bata mzinga unapata.
I mean ile sehemu ilikuwa ni ya aina yake nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
 
Ya pale ndo palipoasisi mashoga wakubwa wa Dar. Kina marehem anti Mudy na wengineo wengi walipatikana kwa wingi pale kwa macheni.

Dah ama kweli siku hazigandi. Kwa macheni imebaki historia tu asa hivi.
Baadae ikawa inajazana Travertine baada ya Macheni kuanza kupoteza umaarufu..Show za mzee Yusuph ilikuwa mashoga yanajazana mitaa ile hadi kinyaa
 
Magomeni mapipa karibu na bondeni hotel
Nakubali mkuu, hakika wewe ni mwenyeji mzuri wa maeneo hayo. Kabla haujafika kwa macheni hapo nyuma kama unatokea mapipa kuelekea kwa macheni (jangwani) kulikuwa na maskani fulani ya mbao walikuwa wanatengeneza vitanda, viti sturi nk. Sasa pembeni na hiyo maskani kulikuwa na gereji ya kutengeneza magari. Sasa hapo ndio nilipokuwa nafanyia kazi kabla ya kupiga hela ndefu na kutimkia bondeni kwa madiba miaka ya 2002.
 
Nilipataga ajali yangu ya gari ya kwanza hapo mwaka 2000, halafu gari lilikuwa la bosi wangu niliazima nkauzie sura mara buuh nimegonga gari ya watu kwa nyuma ilikuwa imepark..jamaa walitumia advantage ya udogo wangu walinikunja kinoma kabla ya wahuni wa pale kuingilia na kunichomoa kwa sababu nilikuwa najulikana kidogo kwakuwa na mimi AKA yangu ilikuwa macheni pia😂
Hahaha duh aisee unazali sana mkuu. Bila hivyo watu wangeondoka na tairi za gari, betri, mataa nk. Nayajua fika maeneo hayo. Ndo yalipokuwa maskani yangu enzi hizo.
 
Na Dar es Salaam nzima hakuna Baa iliyoua Watu ( Wateja ) wake kwa Kupata / Kuambukiza UKIMWI ( Dally Kimoko Guitar ) kama hii Unayoisifia Kipopoma ( Kijuha ) hapa kama ya Kwa Macheni Magomeni / Migo Migo.
Hahaha 🤣🤣🤣 Kweli mkuu, macheni imeondoka na watu wengi sana. Tulionusurika wengi wetu tulichinja mbuzi na kufanya sherehe.

Maana mshikemshike wa miaka ile ulikuwa sio wa kitoto.
 
Baadae ikawa inajazana Travertine baada ya Macheni kuanza kupoteza umaarufu..Show za mzee Yusuph ilikuwa mashoga yanajazana mitaa ile hadi kinyaa
Ya mishoga iliuwa stem za watu sana enzi zile. Mtu umetulia mezani huku ukimsubiri mchumba kaenda msalani mara moja. Ghafla linakuja dume lenye midevu na kuomba likupe kampani ukija kulicheki miguuni limevaa vikuku na jino la dhahabu linakuchekea chekea tu kama chizi.
 
Kumbe Kahumba, nilijua unasema Kanumba 😂😂😂
Sijaedit kitu
Screenshot_20230303-233529.png
 
Kasoro kubwa ya pale palikuwa na mi shoga kibao...unakwenda kula unaliona shoga linakusogelea.....mambooo mkaka..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziiiiii
 
Mimi nilikuwa nafanyakazi kwenye gereji iliyokuwa jirani na kwa Macheni. Basi ilikuwa kila baada ya kazi nasogea kula mambo.

Alafu sometimes kama nimelaza kiporo cha gari ya mtu asubuhi mapema nikiwahi kwenda kuitengeneza lazima nikutane na malaya waliolewa chakali na kuzimikia ndan ya magari mabovu. Kwahiyo mimi ilikuwa nikifika tu naanzisha dozi nyingine, napiga mti mpaka mtu anaomba kwenda chooni kujisaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom