Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

"Marehemu demu wangu, alipata ukimwi hapo"
Pole sana.

Ningali kijana enzi hizo nilikwenda pale na demu fulani mzuri sana pamoja na mdogo wake wote walikuwa wazuri sana. Demu mwenyewe alikuwa ana biashara yake ya Insurance agency pamoja na clearing and forwarding. Tulivyokaa mezani badala ya kuconcentrate kwenye maongezi yetu yeye akawa anazunguka zunguka kwenye meza nyingine na mara akazua ugonvi na mwanamke mwingine kama vile wanagombania bwana mpaka mdogo wake akaniomba samahanai na kuniambia kuwa anaona aibu kwa jinsi dada yake anavyofanya. Demu akawa anatamba kuwa "...bwana mwenyewe wengine tulishachezea sana!". Nikashtuka, baada ya kinywaji nikamrudisha nyumbani kwake kule Victoria mambo yakaishia hapo. Baada ya miezi sita nikakutana na mdogo wake akaniambia kuwa demu huyo aliugua ukimwi akafariki ghafla sana; akanipeleka kunionyesha kaburi lake pale Kinondoni Makaburini..
 
Ushoga ulikuwepo, sema ulikuwa haujasambaa sana kama miaka hii. Miaka hiyo mashoga walikuwa wanaonekana zaidi maeneo kama hayo.
Sasa miaka hii wapo kila mahali, hawajifichi tena Bar kama miaka ile.
Ooooh kumbeee,
 
Pole sana.

Ningali kijana enzi hizo nilikwenda pale na demu fulani mzuri sana pamoja na mdogo wake wote walikuwa wazuri sana. Demu mwenyewe alikuwa ana biashara yake ya Insurance agency pamoja na clearing and forwarding. Tulivyokaa mezani badala ya kuconcentrate kwenye maongezi yetu yeye akawa anazunguka zunguka na mara azua ugonvi na mwanamke mwingine kama vile wanagombania bwana mpaka madogo waka akaniambia anaona aibu kwa jinsi dada yake anavyofanya. Demu akawa anatamba kuwa "...bwana mwenyewe wengine tulishachezea sana!". Nikashtuka, baada ya kinywaji nikamrudisha nyumbani kwake kule Victoria mambo yakaishia hapo. Baada ya miezi sita nikakutana na mdogo wake akaniambia kuwa demu huyo aliugua ukimwi akafaraki ghafla sana; akanipeleka kunionyesha kaburi lake pale Kinondoni Makaburini..
Nawee ungeungwaa ktk chain.
 
Pole sana.

Ningali kijana enzi hizo nilikwenda pale na demu fulani mzuri sana pamoja na mdogo wake wote walikuwa wazuri sana. Demu mwenyewe alikuwa ana biashara yake ya Insurance agency pamoja na clearing and forwarding. Tulivyokaa mezani badala ya kuconcentrate kwenye maongezi yetu yeye akawa anazunguka zunguka kwenye meza nyingine na mara akazua ugonvi na mwanamke mwingine kama vile wanagombania bwana mpaka mdogo wake akaniomba samahanai na kuniambia kuwa anaona aibu kwa jinsi dada yake anavyofanya. Demu akawa anatamba kuwa "...bwana mwenyewe wengine tulishachezea sana!". Nikashtuka, baada ya kinywaji nikamrudisha nyumbani kwake kule Victoria mambo yakaishia hapo. Baada ya miezi sita nikakutana na mdogo wake akaniambia kuwa demu huyo aliugua ukimwi akafariki ghafla sana; akanipeleka kunionyesha kaburi lake pale Kinondoni Makaburini..
Dah pole sana mkuu kwa janga lililokukuta. Sasa brother huyo dem mwenyew ulikuwa ushawahi kulala nae? Na kama uliwahi kulala nae vipi kuhusu afya yako binafsi uliwahi kwenda kupima?
 
Nawee ungeungwaa ktk chain.
Ndo maana nimemuuliza brother kama aliwahi na yey kwenda ku check afya yake, maana ule ugonjwa unaweza kukuacha miaka kadhaa unadunda ila siku ukija kuamka ndo mshike mshike unapoanzia.
 
Back
Top Bottom