Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Na hapo macheni,inawekwa taarifa ya habari iliyorekodiwa kuwa ni saa 2kamili kumbe saa SITA usiku ,tukiwa tunakata kiu,we jamaa acha castle baridiii!
Wewe kweli ni mwenyeji mwenzang wa maeneo yale. Sababu umepita mlemle kwenye uzoefu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom