Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #241
🙏Ok mkuu 2ko pa1.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Ok mkuu 2ko pa1.
🙏Ok mkuu 2ko pa1.
Kwa macheni,kill time,Lego bar, travertine, diamond jubilee,Chaga bite,nandoz,steers,vijana club,silent inn,beach comber,mikadi bichi,mwee nimesahau nyingineMkuu Extrovert tia neno. Maana kuna vijana wamekuja mjini baada ya Macheni kufa, ndio maana wanaifananisha na vijiBar vya uchochoroni.
Dah enzi zetu kweli tulifaidi mkuu.Kwa macheni,kill time,Lego bar, travertine, diamond jubilee,Chaga bite,nandoz,steers,vijana club,silent inn,beach comber,mikadi bichi,mwee nimesahau nyingine
Those days time flies for real
Mkuu nakubaliana na ww kwamba kila zama na kitabu chake. Najua kabla ya macheni au baada ya macheni bar kulikuwa na maeneo mengine yaliokuwa moto kweli kweli.Useme tu kwa wakati wako uliikuta hiyo bar ipo juu na kuvuma kila pembe ya nchi hadi nje ya mipaka yetu (kama ulivyodai mwenyewe) lakini hata huko nyuma kuna bar na kumbi nyingi za starehe zilizovuma sana na kuwa gumzo mfano kuna safari resort kule kimara,hunters club n.k acha ambazo leo hii hata alama hakuna tena kutokana labda kupita miundombinu mingine au kubadilishiwa matumizi.
Nihitimishe tu kwa kusema kila jambo lina wakati wake.
Bottom mwenzio huyoWee huyu macheni mbna km Bottom?? Afu hakujifichaa.
It seems ni gay aliyejioneshaa. Uwiiiiih
Wazee wa majibu ya papo hapo 🤣🤣🤣Bottom mwenzio huyo
unaendeleaje lkn?"Marehemu demu wangu, alipata ukimwi hapo"
Yani hata zifunguliwe baa na sehemu zingine za starehe kama vile kitambaa cheupe, kitambaa cha kijani, blue nk kamwe hazitoweza kuifikia kwa Macheni.Macheni Bar. Dar nimekumbuka mbali sana. Nilijuwa sikosi pale kushuhudia muziki wa dansi. Zaidi ya mara mbili nashtukia tu saa kumi na mbiki hii hapa. Kweli kila kitabu na zama zake.
Hata sasa hivi viwanda hivyo vipo. Sema sasa ivi kuna dawa zimeletwa kwa ajili ya kupunguza makali ya HIV zinazotengenezwa katika viwanda hivyo.Kulikuwa na kakiwanda ka kutengeneza HIV.
Mtu yoyote aliekuja Dar kutokea mikoani au nje ya nchi, akiondoka kurudi kwao bila kufika au hata kupita kupaona kwa Macheni, basi huyo hakuaminika kama alifika Dar. Yani ili uaminike wakati huo kama ulifika Dar basi ni lazima uwe na picha au simulizi mbili tatu za kwa Macheni ndo watu wakubali.Hakuna kitakachodumu, enzi hizo kwa macheni ni macheni kweli.. Jina kubwa sana.
Ndio kilikuwa kijiwe cha kina Kikwete na marehem mamvi ili kupanga namna ya kuingia jumba jeupe 2005.Kijiwe cha Kikwete.
Na hapo macheni,inawekwa taarifa ya habari iliyorekodiwa kuwa ni saa 2kamili kumbe saa SITA usiku ,tukiwa tunakata kiu,we jamaa acha castle baridiii!Habari zenu wana JF wenzangu.
Hivi ni Bar au maeneo gani ya starehe yanaweza kufikia sifa ilizokuwa nazo Bar ya Macheni enzi zake.
Hii Bar enzi za Prime Time yake iliweza kujibebea umaarufu hadi nje ya mipaka ya nchi yetu achilia mbali maeneo na mikoa mbali mbali ya Tanzania.
Mwaka 2003 wakati nipo ndani ya basi kutoka Lusaka kuelekea Harare nilikutana na mzambia fulani ambae tuliongea mengi kati ya tulioongea nilishangaa kuona jamaa aliifahamu hadi macheni Baa na alisema kwamba siku atakayofanikiwa kukanyaga Tanzania atajitahidi kufika katika Bar hiyo ili kujionea mwenyewe kwa macho yake yale yote aliyokuwa anahadithiwa na wazambia wenzake waliobahatika kukanyaga Dar na kwenda kula bata katika Bar hiyo.
Lakini pia nishakutana na watu kutoka katika nchi zingine za Congo, Burundi, Namibia na Kenya wakiizungumzia Bar hiyo kwa jinsi ilivyokuwa na mvuto kwa watu mbali mbali kutoka mataifa mbali mbali.
Sasa toka Bar hiyo ya macheni ilipoanguka sijawahi kusikia Bar zingine zenye sifa kubwa kama hiyo.
Je wewe ushawahi kuisikia nyingine yenye sifa zinazofanana na zile zile za kwa macheni? Kama ipo ni ipi? Najua kuna Bar na maeneo mengi yenye sifa na mvuto wa kiwango fulani ila sio kufikia viwango vya Bar ya Macheni.
Nyinyi au wewe unaonaje?
Karibuni tujadili.
Mbona mpaka sasa jamaa hajarudi kukujibu.. au tayari kaishamfuata marehem dem wake kaburini!unaendeleaje lkn?