Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

WAtu wamekula sana udongo kwa macheni, inavyoonekana...bora sikua town..ningekua na mm, ni mmojawapo tu labda rehema za Mungu
Amna mkuu, kama siku zako bado usingekufa. Mbona mimi nilipiga sana msasa mabint wa pale, lakini Mungu alinilinda sikuuvagaa. Mpaka leo nina familia na nipo fresh tu.
 
Ndo maana nimemuuliza brother kama aliwahi na yey kwenda ku check afya yake, maana ule ugonjwa unaweza kukuacha miaka kadhaa unadunda ila siku ukija kuamka ndo mshike mshike unapoanzia.
Yaan wee acha tyuuh, ni kazezee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Makao makuu ya speaker wazi yaliasisiwa kwa macheni kabla ya kuhamia maeneo mengine. Ile laana hadi leo magomeni ipo kama ilivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machozi.
 
Mwenyekiti wa speaker wazi Tanzania miaka hio aliitwa anti Asu.
Leo ni mtumishi wa Mungu ameoa mke mzuri na ana watoto wawili wazuri wa kiume baada ya kuifunga speaker yake jumla.
Anatoa ushuhuda na anawasaidia speaker wazi waache tabia hizo wamrejee Muumba wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ivi kumbe ni kweliii?? Nadhanigi uongo, ila pongezi kwake, ame maintain aseeeeh. Uwiiiiiih
 
Hahahaha ukipewa ushauri na mtu huyo, ana vingi vya kusema...ila sio wale hawajawahi kupitia misery lifes wanaleta fujo...huyo ankuambia kabisa, haya mambo tumeshafanyaaaa haya maana, real example.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umenikumbusha mbali kweli kila zama na kitabu chake. Nakumbuka Defao aliliwa tako sana mitaa hiyo back in the days na watoto wa mjini.
Watoto wote wa mjini "misheni town" walikuwa wanakutania hapo kula bata na kupanga dili zao iwe poda, ujambazi, wizi wa kalamu n.k.

Kwa madogo wa juzi nawafahamisha kwamba buku 1000/= ilikuwa ni hela na malaya wanakugombania. [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie watu khaaaaah
 
Kwa Macheni ilikuwa noma sana. Lakini jina lilikuwa kubwa sana kwa sababu ya Uasherati.

Baada ya Macheni kuachana na kazi yake ya Ubaharia, akaja kufungua Bar, walijaa mashoga na Malaya wa Kila aina. Yeye mwenyewe alikuwa Shoga, alijifunzia huko kwenye Ubaharia. Walimbandua.

Kidimbwi panaizidi sana Kwa Macheni. Walau penyewe ni pasafi na Kuna nafasi ya kutosha. Ila kwa Umalaya na ushoga pamoja na umaarufu, bado sana wa kuifikia Kwa Macheni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila zama na kitabu chake. Kipindi hicho mziki wa dansi upo juu, pedeshee kibao mitaa hiyo. Pesa ilikuwa na thamani kiasi kipindi hicho cha Mkapa. Ila Waya ulikuwa mkali sana dawa ARV zilikuwa bado wanazipata matajiri, ndio miaka hii mtu anakufa kilo mbili[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elf3 enzi hizo unapewa hadi jicho mkuu. Kama sio mtumiaji wa jicho basi unapewa ofa ya kunyonya titi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa game.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaaaah
 
unageuziwa vipara viwili umalizane navyo [emoji23 said:
[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Elf3 enzi hizo unapewa hadi jicho mkuu. Kama sio mtumiaji wa jicho basi unapewa ofa ya kunyonya titi kuanzia mwanzo hadi mwisho wa game.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana mzee, kunyonya titi ofa
 
Back
Top Bottom