Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Dar es Salaam nzima haijawahi kutokea Baa yenye sifa na mvuto kama Kwa Macheni

Kwa macheni ilikuwa mojawapo ya bar chafu ,mazingira mabovu nilishakwendaga pale siku moja tu sikutamani kwenda tena
Mkuu wewe ulifuata uchafu, wenzio walifuata nyapu na mission zingine za kitown. Maana pale ndio yalikuwa maskani ya watu wengi hadi majambazi wakitaka kupanga mambo yao wanakutana pale kwa bia mbili tatu huku wakipanga yao.
 
Mkuu nakumbuka nilikuwa nimeenda kupokea mzigo kutoka Kenya ilikuwa unakuja Kwa basi ambalo kulikuwa na ofisi pale Jirani Kwa hiyo Gari ikachelewa kufika ndio nikaamua kukaa pale Kwa macheni kuisubiri.
Pale Kwa macheni ulikuwa ni uchafu flani hivi nawashangaa wanaomsifia uchafu wa pale.
Tuache utani pale palikuwa pachafu kila kitu , nawashangaa wanaosifia Ile sehemu
 
Free supu, daah walitisha sanaaa..wengine tulikua wadogo mikoani huko, ila story za bar ya macheni nimesoma sana hapa JF, ilikua hatari inaonekana..
Mkuu soma hapo 👇 uone watu tulivyofaidi Bar ile.
Mimi nilikuwa nafanyakazi kwenye gereji iliyokuwa jirani na kwa Macheni. Basi ilikuwa kila baada ya kazi nasogea kula mambo.

Alafu sometimes kama nimelaza kiporo cha gari ya mtu asubuhi mapema nikiwahi kwenda kuitengeneza lazima nikutane na malaya waliolewa chakali na kuzimikia ndan ya magari mabovu. Kwahiyo mimi ilikuwa nikifika tu naanzisha dozi nyingine, napiga mti mpaka mtu anaomba kwenda chooni kujisaidia.
 
Mkuu nakumbuka nilikuwa nimeenda kupokea mzigo kutoka Kenya ilikuwa unakuja Kwa basi ambalo kulikuwa na ofisi pale Jirani Kwa hiyo Gari ikachelewa kufika ndio nikaamua kukaa pale Kwa macheni kuisubiri.
Pale Kwa macheni ulikuwa ni uchafu flani hivi nawashangaa wanaomsifia uchafu wa pale.
Tuache utani pale palikuwa pachafu kila kitu , nawashangaa wanaosifia Ile sehemu
Ya ni kweli kwa mazingira ya mtu wa kawaida ile sehemu ilikuwa chafu. Ila kwa wale wanaofuata kile kinachoendelea pale wao ilikuwa sawa tu.
 
Mkuu enzi hizo ulikuwa mkoa au ulikuwa mdogo sana?
Nilikua mdogo nikawa naishi nchi jirani ila niliisikia nikiwa kulekule.
Vipi hiyo Bar ilikuaje ikapoteza umaarufu? Zilitokea bar maarufu zaid yake au ?
Na Huyo Hussein macheni bado yupo au na yeye aliukwaa ukimwi? Maana naskia hapo ukimwi ilikua ndo kwao
 
Ila maisha haya, starehe hizi zimeumiza sana watu weengi..mm kuna bar zipo kigamboni, Ngamia..unalewa mpaka saa kumi na moja mnabebana kipombe mpaka nolasco, saa mbili asbh utahisi ni saa sita usiku watu nyomiii ni kubebaba tu, kusaka lodge.
 
Nilikua mdogo nikawa naishi nchi jirani ila niliisikia nikiwa kulekule.
Vipi hiyo Bar ilikuaje ikapoteza umaarufu? Zilitokea bar maarufu zaid yake au ?
Na Huyo Hussein macheni bado yupo au na yeye aliukwaa ukimwi? Maana naskia hapo ukimwi ilikua ndo kwao
Baa ya macheni ilianza kuyumba wakati serikali ilipoanza bomoa bomoa ya watu waliojenga katika hifadhi ya barabara. Bar ilikuwa nje ya hifadhi lakini maeneo ya kujidai kama vile watu kunywa, kuchoma nyama, kucheza mziki nk yalikuwa nje ambapo ndio ilipopita barabara. Kifupi lile lilikuwa eneo la nyumba tu za kawaida watu kuishi ambapo nje ndo ilikuwa barabara ya kawaida tu gari mbili tatu kupita. Sasa macheni alipofungua baa gari zikawa zinalazimika kuzunguka kupitia njia nyingine haswa mida ya usiku unakuta viti, meza na watu wametapakaa kila sehem ya barabara ile. So serikali ilipoanza upanuzi wa barabara kutokana na uhitaji wa watu ikabidi eneo zima lipitiwe. Ikawa hakuna tena sehem ya watu kujiachia kwa nafasi maana kwa ndani baa ilikuwa ndogo sana, na joto la bongo wengi walipenda kukaa nje.

Kuhusu Macheni yeye ashakufa. Alikufa na presha kutokana na kutokea matatizo makubwa kati ya yeye na mkewe.

Ila kuhusu kifo hapo Mungu na ndugu ndio wanaojua zaidi, maana kuna wengine wanaeema kafa kwa presha, wengine ukimwi na wengine wanasema kisukari. So siri ya kifo chake aijuae ni Mungu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom