Dar es salaam the modern and sweetest city in East Africa (i enjoyed my stay)

Si kama yenu mnayotumia damu ya Albino.....Wadanganyika roho chafu ya kishetani.Kuna watu duniani wenye wivu na roho chafu kama nyie.....I wish we even had Syria as neighbours than you imbeciles.....
tanzania ingekua na wivu au roho mbaya nchi za africa zisingepata uhuru 😀😀😀😀😀😀 na ndio maana migogoro ya nchi nyingi africa zinasuluhishwa tanzania
 
Pwahahahaha......Jesus just come down and listen to these voices.You are a really awful example of humanbeings.
 
uhuru wa south africa, mozambique, uganda, rwanda, burundi, zambia, malawi, congo , zimbabwe etc, zote zimetokana na juhudi ya tanzania😀😀😀😀 na ndio maana nchi zenye amani na utulivu africa tanzania ni ya pili kama sio ya tatu😛😛😛😛😛
 
tanzania ingekua na wivu au roho mbaya nchi za africa zisingepata uhuru 😀😀😀😀😀😀 na ndio maana migogoro ya nchi nyingi africa zinasuluhishwa tanzania
Ya Tanzania yanasuluhishwa na nani? Hivi sasa hiyo miaka yote SA, Zimbabwe, Msumbiji na Comoros zimeisaidia Tanzania kivipi kuwaondoa kwenye hali yenu ya umasikini?
Katika jibu lako weka Kenya kando.
 
Hahahaha, povu!

Tuambizane ukweli, niambie wapi utaishi apartment ya 150,000 Tshs kwa mwezi hapo Bongo na uje kututambia, nimeishi hiyo Dar kaka, have enjoyed its every good, nimekatiza maeneo mengi sana. Anything house less than 400,000 Tshs per month ni mahangaiko.
 
Hujakatiza maeneo mengi basi, 150000 zinapatikana mob, na ni nzuri.
 
Kiaje?
Elezea zaidi boss...

Check the link below for typical rent of apartments in Dar, the author is talking of 150,000Tshs the kind of rent in Mazense slums.
There is no way you can visit a foreign country and live in its slums and claim to have had the best of its offering. The same author claims to have lived in Westlands, where we know apartments are going for about 40k almost 1,000,000 Tshs and using that to compare to a dingy slum in Dar.
Apartments for rent & houses for Rent in Tanzania
 
Duh!
 
Ya Tanzania yanasuluhishwa na nani? Hivi sasa hiyo miaka yote SA, Zimbabwe, Msumbiji na Comoros zimeisaidia Tanzania kivipi kuwaondoa kwenye hali yenu ya umasikini?
Katika jibu lako weka Kenya kando.
tanzania haina misuguano ya kikabila ndio maana inaweza kujisuluhisha yenyewe na kusulihisha nchi zingine za africa ndio hapo ujue tanzania haina wivu au roho mbaya na nchi za africa, tanzania ndio imeanza kutumia resources, narudia tena tanzania ndio imeanza kutumia resources sasa tegemea makubwa sana kwa jinsi ulioyaona kwa kipindi kifupi sana cha maendeleo😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 yani ndio tunaanza kutumia rasilimali, kaa mkao wa kula
 
Kweli Hii sio Tz ya 90s.
 
Tuambizane ukweli, niambie wapi utaishi apartment ya 150,000 Tshs kwa mwezi hapo Bongo na uje kututambia, nimeishi hiyo Dar kaka, have enjoyed its every good, nimekatiza maeneo mengi sana. Anything house less than 400,000 Tshs per month ni mahangaiko.
Anapata mkuu, Kwa sehemu alizotaja kama kinondoni,
300-400K Unapata nyumba nzima 3bedrooms, yaani nyumba nzuri ya Kisasa maeneo ya Sinza au Kinondoni alikosema huyo Dada.
Ila kama ni Apartments za Kariakoo, Masaki, Posta au Mikocheni au Upanga ni ghali zaidi, 2-3bedrooms utalipa hadi $400
 
appartment masaki na mikocheni na msasani pia zipo mpaka 3000$
 
Back
Top Bottom